Osama Bin Laden hakuuawa! Miaka zaidi ya 10 sasa

Osama Bin Laden hakuuawa! Miaka zaidi ya 10 sasa

Serikali ya Pakistan ndio "ilimchoma" wakavuta pesa ndefu kutoka wa wamarekani ilibwamkabidhi. Baadae ndio kale ka "video mission" kakatengenezwa kuonesha haikuwa rahisi.
Hakuna kitu kama hicho, kazi ya CIA pekee, walikataa kujulisha mamlaka zingine kwa hofu ya kumpa tips target na hivyo kumkosa tena ka ilivyotokea kule nyuma, kuna watu wanaakili nyingi sana aisee, ukifatilia vile walivyokuwa wanamuwinda jamaa kwa kuunganisha dots utajiona fala.
 
Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?

Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao ni mchungu kuwa huyu mwambata aliuawa?

View attachment 3260857
angekuwepo kungeshachangamka
 
waumini wa conspiracy wanasema alishajifia mwenyewe kipindi cha ukimya kutokana na maradhi hivyo wa-US wakapiga tukio la mcongo kuchukua credit.

huo ni miongoni mwa upande wa conspiracy, ila taarifa rasmi US imemshambulia

sasa sisi watazamaji tunaenda na taarifa rasmi, hakuna namna otherwise watu walete uthibitisho
Baada ya uvamizi ule wa jeshi la anga na kumuua Osama, Obama alitoa hotuba na tangazo la kifo chake, moja kati ya maneno yake Obama, "....hamtamuona tena..." now wale wanao semaga eti HAKUFA, au USA inachukua credit hawaoni kama maneno ya rais wa Marekani yanaishi hadi leo? Since that day to-date Osama hajawahi kuonekana and is like hata kundi lake la Alqaeda ni kama nalo halipo, limekufa. Kiko wapi?
 
Hapana, Kuna conspiracy theory nyingi mno.
Ndio maana basi wametuacha na masuali mengi sn. Hivi Osama alivokuwa anawindwa vile halafu Marekani wamkamate wamuue (hata sijui walimuu je!) Then wamvingirishe tu wamtupe baharini!? Laziim huo mwili wake ungekuwa Maonesho for some days dunia nzima ikauuona na ndipo angezikwa
 
Utata mwingi mno, john f Kennedy, Lincoln death, sokoine.
 
Hakuna jambo baya kama kuamini hizi trending news kutoka ktk media za USA na washirika wake, kama mnaamini huyo mwarabu alihusika na ugaidi wa Marekani mnapoteza muda, mambo hayatokei kwa bahati mbaya.
Kuna mengi watu hawayajui na kwakua wameamua kuziba macho+masikio basi hawatoyajua kamwe.
Endeleeni kuamini media vile vile inawezekana kabisa baadhi ya hao mnaodai wamekufa bado mko nao mitaani wakiwa na uhalisia mpya baada ya plastic surgery ya uso+mwili.
Zile movies za Hollywood mnadhani baadhi ya matukio wanayatunga tu? Hapana ndio haya haya yanatokea katika jamii, na njia mojawapo ya kufikisha ujumbe kwa wanajamii wajue baadhi ya siri ni kupitia Fasihi.
 
watu na nadharia zao tu huyo mwamba alijisahau kile kipindi cha ukimya kumbe wahuni wanatafiti taratibu alipo!, na walipobaini walihakikisha hawamkosi maana wangemkosa ile siku basi vyombo vyao vya ulinzi vingeisema ile kauli ya "mayday!".

Huyu mwamba sio kwamba picha zake hazikutoka, zilitoka na akazikwa huko baharini kama angekuwepo tayari angekuwa ameshapapasa ardhi ya marekani!, ikumbukwe na baadhi ya member wa familia yake waliuliwa sio kwa bahati mbaya ni maksudi!.

Watu hupenda tu kutoka na nadharia zao pasipo ukweli wa mambo! maana wanajua watu mnapenda kusikia hivyo vitu!
Kwa nini azikwe baharini!?..kama kweli ile siku aliuawa,aliyeuza picha ni jenerali wa pakistan wala si uhodari wa cia
 
Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?

Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao ni mchungu kuwa huyu mwambata aliuawa?

View attachment 3260857
Jf kwanini inaachia mada za wapumbavu.. nimesoma nikijua heading ni ukweli ndani imejaa uharo
 
Alikuwa CIA agent , amekamilisha operesheni yake wamemchukua.

Kasome history hata ya mwalimu wake Ali Abdul Saoud Mohamed utagundua alikuwa agent wa CIA na Mossad.

Mambo ya dunia sivyo kama yalivyo.
 
Osama aliuliwa na vikosi vya marekani kwenye lile shambulio alilofanyiwa kwenye makazi yake pakistan. Kama angekua amekufa kitambo kwa maradhi tu ya uzeeni basi kabuli lake lingekuwepo na ninavyowajua wavaa kobasi wangekua wanaenda kufanya ibada maana kwao Osam alikua shujaa.

Sema jamaa alikua mwamba, kuipiga chenga marekani miaka 10 sio mchezo. Sadam hussein alikua rais ana washirika na connection kibao lakini hakuchukua round wahuni wakamdaka tena kizembe zembe tu kama boya
 
Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?

Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao ni mchungu kuwa huyu mwambata aliuawa?

View attachment 3260857
SIkuwahi kuona jitu jioga na nafiki kama Osama. Lilihimiza magaidi wajitoe mhanga kwa ajili ya allah ilhali lenyewe lilikuwa linaishi uvunguni mwa kitanda kuogopa kuuawa.
 
Mtu umetoka huko kumwaga bao kwa mkeo, unaongelea marekani imedanganya duniani kumuua osama😂😂😂😂. Hivi wewe osama ulipigiwa tu story au ndio netflix.
Kila shambulio mpuuzi aliua watu si chini ya 3000. Na kila miaka miwili, lazma aje ashambulie, from 1996,1998,2000, 2001 ndio ile septemba 11. Alafu akakaa more than 5 years anachinja tu wamarekani. Na kuandaa shambulizi la hatari. Huyu angeilipua dunia nzima at once, ilibidi kumsaka before hajarudi. Alikua psychopath. Hivi nyie watoto wa 95 mnasimuliwa.
Marekani akudanganye wewe, wewe na sisi kama nani?
Waulize waliokuwa ubalozi wa marekani pale bibi zako watakwambia nini maana ya tukio analopanga osama anaingilia hadi mfumo wa anga na satellite.
Watoto bwana, eti tumedanganywa.😂😂😂😂😂with who, nani akudanganye😂😂😂😂 mamayo.
 
Back
Top Bottom