Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Hakuna kitu kama hicho, kazi ya CIA pekee, walikataa kujulisha mamlaka zingine kwa hofu ya kumpa tips target na hivyo kumkosa tena ka ilivyotokea kule nyuma, kuna watu wanaakili nyingi sana aisee, ukifatilia vile walivyokuwa wanamuwinda jamaa kwa kuunganisha dots utajiona fala.Serikali ya Pakistan ndio "ilimchoma" wakavuta pesa ndefu kutoka wa wamarekani ilibwamkabidhi. Baadae ndio kale ka "video mission" kakatengenezwa kuonesha haikuwa rahisi.
angekuwepo kungeshachangamkaNakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?
Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao ni mchungu kuwa huyu mwambata aliuawa?
View attachment 3260857
Baada ya uvamizi ule wa jeshi la anga na kumuua Osama, Obama alitoa hotuba na tangazo la kifo chake, moja kati ya maneno yake Obama, "....hamtamuona tena..." now wale wanao semaga eti HAKUFA, au USA inachukua credit hawaoni kama maneno ya rais wa Marekani yanaishi hadi leo? Since that day to-date Osama hajawahi kuonekana and is like hata kundi lake la Alqaeda ni kama nalo halipo, limekufa. Kiko wapi?waumini wa conspiracy wanasema alishajifia mwenyewe kipindi cha ukimya kutokana na maradhi hivyo wa-US wakapiga tukio la mcongo kuchukua credit.
huo ni miongoni mwa upande wa conspiracy, ila taarifa rasmi US imemshambulia
sasa sisi watazamaji tunaenda na taarifa rasmi, hakuna namna otherwise watu walete uthibitisho
Hapana, Kuna conspiracy theory nyingi mno.Hivi ukiacha ile video inayoonesha kuwa alivingirishwa nguo na kutupwa baharini...kuna alieiona maiti ya Osama km ilivoonekana kwa Sadam Hussain, Gaddafi au Nasrillah?
Ndio maana basi wametuacha na masuali mengi sn. Hivi Osama alivokuwa anawindwa vile halafu Marekani wamkamate wamuue (hata sijui walimuu je!) Then wamvingirishe tu wamtupe baharini!? Laziim huo mwili wake ungekuwa Maonesho for some days dunia nzima ikauuona na ndipo angezikwaHapana, Kuna conspiracy theory nyingi mno.
Utata mwingi mno, john f Kennedy, Lincoln death, sokoine.Ndio maana basi wametuacha na masuali mengi sn. Hivi Osama alivokuwa anawindwa vile halafu Marekani wamkamate wamuue (hata sijui walimuu je!) Then wamvingirishe tu wamtupe baharini!? Laziim huo mwili wake ungekuwa Maonesho for some days dunia nzima ikauuona na ndipo angezikwa
Kwa nini azikwe baharini!?..kama kweli ile siku aliuawa,aliyeuza picha ni jenerali wa pakistan wala si uhodari wa ciawatu na nadharia zao tu huyo mwamba alijisahau kile kipindi cha ukimya kumbe wahuni wanatafiti taratibu alipo!, na walipobaini walihakikisha hawamkosi maana wangemkosa ile siku basi vyombo vyao vya ulinzi vingeisema ile kauli ya "mayday!".
Huyu mwamba sio kwamba picha zake hazikutoka, zilitoka na akazikwa huko baharini kama angekuwepo tayari angekuwa ameshapapasa ardhi ya marekani!, ikumbukwe na baadhi ya member wa familia yake waliuliwa sio kwa bahati mbaya ni maksudi!.
Watu hupenda tu kutoka na nadharia zao pasipo ukweli wa mambo! maana wanajua watu mnapenda kusikia hivyo vitu!
Jf kwanini inaachia mada za wapumbavu.. nimesoma nikijua heading ni ukweli ndani imejaa uharoNakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?
Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao ni mchungu kuwa huyu mwambata aliuawa?
View attachment 3260857
Big ChaiAngekuwa hai angetumia hiyo nafasi kuwaumbua wamerekani na kuwapa marali magaidi kwamba marekani imemshindwa...mshikaji analamba asali na mabikra 72 kwa sasa
SIkuwahi kuona jitu jioga na nafiki kama Osama. Lilihimiza magaidi wajitoe mhanga kwa ajili ya allah ilhali lenyewe lilikuwa linaishi uvunguni mwa kitanda kuogopa kuuawa.Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?
Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao ni mchungu kuwa huyu mwambata aliuawa?
View attachment 3260857