Osama Bin Laden hakuuawa! Miaka zaidi ya 10 sasa

Mkuu wangemuua wangefanya kama Saddam na ghadaffy.Kwa Ossama tutaendelea na Imani.
 
Kama Osama angekuwapo lazima habari zake zingeendelea kuvuma, na hata baadhi ya matukio yangeweza kujitokeza, lakini kwa ukimya huu inadhihirisha aliishalala mauti.
 
Alikuwa CIA agent , amekamilisha operesheni yake wamemchukua.

Kasome history hata ya mwalimu wake Ali Abdul Saoud Mohamed utagundua alikuwa agent wa CIA na Mossad.

Mambo ya dunia sivyo kama yalivyo.
Wale jamaa ukishirikiana nao , labda uishi nao milele ila ukitoka tu hawakuachi ..Huyo Saddam alikuwa mshirika wao hata huyu Zelenksy wanamzingua sasa .
 
Yale yale story zenu za 2pac
 
Media Control.
Endeleeni kucheza mziki msioujua.
 
Alikuwa CIA agent , amekamilisha operesheni yake wamemchukua.

Kasome history hata ya mwalimu wake Ali Abdul Saoud Mohamed utagundua alikuwa agent wa CIA na Mossad.

Mambo ya dunia sivyo kama yalivyo.
Mission yake ilikua ni nini?

Kuasisi matukio ya kigaidi ili kuua maelfu ya wamarekani?
 
Si huwa wanasema pia 2pack hakufa , sijui eminem ni clone basi tu wamarekani wanapenda hizo theories.
Mwamba alikata moto ila kuna wafuasi wake hawataki kuamini
 
Dunia imepoa sana itabidi kupatikane tena osama mwingine dunia ichangamke
 
Ni kweli aliuliwa. Umbea mwingi. Mfano ni wambea wanavyodai Yahya Sinwari kaonekana tena Gaza. Kwa maoni yangu, hiyo ni mbinu ya magaidi kutiana moyo kuwa boss wao bado yuko hai
 
Yupo anatafuna bikra 72 huko akhera
 
Hivi ukiacha ile video inayoonesha kuwa alivingirishwa nguo na kutupwa baharini...kuna alieiona maiti ya Osama km ilivoonekana kwa Sadam Hussain, Gaddafi au Nasrillah?
Ungeiona wapi kama ilitupwa baharini ikiwa imefungiwa jiwe? Anyway.tuseme yupo. Enheeeehh....yupo wapi? Kimanzichana?😁 Halafu toka siku hiyo Osama ameamua kunyamaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…