Osama Bin Laden hakuuawa! Miaka zaidi ya 10 sasa

Osama alikuwa Gaidi unataka Gaidi apewe credit za marais??
Ndio maiti yake isionekane kabisa kabisa. Si wangeisasambua dunia nzima ikaishuhudia. Why waoneshe wamevingirisha maiti yake na kuitupa baharini!? Waniichome moto labda!? Why?
 
Ndio maiti yake isionekane kabisa kabisa. Si wangeisasambua dunia nzima ikaishuhudia. Why waoneshe wamevingirisha maiti yake na kuitupa baharini!? Waniichome moto labda!? Why?
Osama hajafa. Yupo hapo Visiwa vya Carribean anakula bata pamoja na wake zake wanne
 
Nilishindwa kuelewa kwanini jamaa waliamua kuutupa mwili wake baharini

Kwanini wasingeuacha huko huko ndugu zake wakamzika

Ila Osama nae alikuwa ameshachoka kukaa kama digidigi
Hilo kaburi lake lingeweza chochea kuinuka hata kwa dini mpya.
 
Binadamu Bana,gaidi alishaua Muda mrefu Tu ila bado mmekaza mafuvu hamtaki kuamini

Sa mlitaka mletewe maiti yake nyumbani kwenu ndo kuamini ama?
 
Unajua Collateral Damage?
Again, if dozens of premeditated terrorist attacks that killed thousands Americans were collateral damage as you say then what was the main mission assigned to Osama?
 
Osama alikufa miaka miwili kama ile filamu ya kuuwawa.Kwa maana hiyo kwa sasa ni marehemu shujaa ambaye hakukamatika
 
Osama alikufa miaka miwili kama ile filamu ya kuuwawa.Kwa maana hiyo kwa sasa ni marehemu shujaa ambaye hakukamatika
uongo sheikh wangu..... huu uongo wa kitoto sana.
 
Tuliambiwa alikuwa anajificha kwa watalebani Afghanistan kule Tora Bora na Kandahar milimani, wacha majeshi ya marekani waitwange milima hiyo kwa makombora mazito kubomoa mapango. Mara tukaambiwa kavamiwa akiwa kwenye jumba moja huko Pakistan wakamuua na kumtupa baharini ili wafuasi wake wasijue kazikwa wapi wasije wakatukuza kaburi lake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi ukiacha ile video inayoonesha kuwa alivingirishwa nguo na kutupwa baharini...kuna alieiona maiti ya Osama km ilivoonekana kwa Sadam Hussain, Gaddafi au Nasrillah?
Umuone ili?

Alifungiwa jiwe akazamishwa baharini, amewahishwa kwa wale 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…