Oscar Oscar: Kwanini Polisi hawajawahi kukamata viongozi wa CCM? Je, hawakosei?

Weledi Kwa polisi ni zero.Naamini ccm hata akiamua kuanza kampeni kabla ya muda atafanya vizuri tu lakini afanye mpinzani utasikia intelijensia Imebaini viashiria vya uvunjifu wa amani.Polisi kuweni weledi,mpo Kwa matakwa ya Sheria na siyo matakwa ya watawala.
 
Sio wakuu hata yule Mwenyekiti uvccm kagera mpoteza watu hata hakuhojiwa na polisi.
 
Nisaidie kuwaelewesha mkuu!! Yaani mpaka leo hajawahi hata kuhojiwa, kazi yao ni kukamata wapinzani
 
shida ya upinzani ni kushindwa kuuza sera tena kwa vitendo

na awamu hii akuna mjinga wa kuwasikiliza wallah
Kama hawawezi kuuza sera polisi ya nini?? Nyie mikutano lazima waje wasanii na wanafunzi wa shule na wafanyakazi wa halmashauri 😃,

Kama hamuogopi CHADEMA, waacheni wafanye shughuli zao kwa uhuru halafu wekeni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Weledi Kwa polisi ni zero.Naamini ccm hata akiamua kuanza kampeni kabla ya muda atafanya vizuri tu lakini afanye mpinzani utasikia intelijensia Imebaini viashiria vya uvunjifu wa amani.Polisi kuweni weledi,mpo Kwa matakwa ya Sheria na siyo matakwa ya watawala.
Ikifika wakati wa uchaguzi utashangaa idadi ya polisi wanaotumwa Zanzibar, unafikiri ni kwa sababu ipi huwa wanaenda wengi?
 
Ccm wanajiona wao ndio wenye nchi, bila wao nchi haiendi na hatawaliki. Kifupi ili ujue kuwa wanajiona hivyo, subiri next Yr uchaguzi mkuu, hata upinzani ushinde ka margin kubwa kiasi gani, ccm itatangazwa mshindi
Mfano mzuri Zanzibar, Mzee Maalim Seif kadhulumiwa Sana
 
shida ya upinzani ni kushindwa kuuza sera tena kwa vitendo

na awamu hii akuna mjinga wa kuwasikiliza wallah
sera zinauzwaje kwa vitendo na chama cha upinzani?
unataka wapinzani wajenge miundombinu ya kijamii?
unajua maana ya upinzani na kazi zake lakini?
 
Kwanini akamatwe mtu yoyote bila kosa au bila kufanya due dilligence ?

Kwahio kama wangekamatwa wa CCM basi na wa Vyama vya Upinzani ingekuwa sawa wakamatwe ? Ifike wakati tutetee right and wrong no matter what na sio kuuliza kwanini uonevu huu na wale hawafanyiwi...
 
Mfano mzuri Zanzibar, Mzee Maalim Seif kadhulumiwa Sana
Sana mkuu, uchaguzi wa 2000 ni ushahidi tosha, Karume alishakula za mbavu ila Mkapa akapeleka wanajeshi wa bara wakachafua hali ya hewa kabisa ila Maalim alishinda.
 
Kwanini akamatwe mtu yoyote bila kosa au bila kufanya due dilligence ?

Kwahio kama wangekamatwa wa CCM basi na wa Vyama vya Upinzani ingekuwa sawa wakamatwe ? Ifike wakati tutetee right and wrong no matter what na sio kuuliza kwanini uonevu huu na wale hawafanyiwi...
Kwa akili yako timamu unahisi viongozi wa CHADEMA wana makosa yapi?? Ndio najiuliza CCM wao hawajawahi kukosea? Ushasikia mkutano wa CCM unaahirishwa na polisi?? Au huoni
 
Sana mkuu, uchaguzi wa 2000 ni ushahidi tosha, Karume alishakula za mbavu ila Mkapa akapeleka wanajeshi wa bara wakachafua hali ya hewa kabisa ila Maalim alishinda.
Wanajua kuwatumia polisi kuiba kura ila kuwaongezea mishahara hawataki?
 
sera zinauzwaje kwa vitendo na chama cha upinzani?
unataka wapinzani wajenge miundombinu ya kijamii?
unajua maana ya upinzani na kazi zake lakini?
Mkuu kuwakamata wapinzani ni ilani ya chama au unashabikia ujinga?
 
Wanajua kuwatumia polisi kuiba kura ila kuwaongezea mishahara hawataki?
Hawa jamaa ni kundi lingine la fafafa, yaani huwa tunawasema walimu ila nadhani wanaotumika zaidi ni kundi hili, kwa manufaa ya nani...ccm!
 
Chama dola
Siku ikitokea chama ikatenganiswa na serikali hawa jamaa watakuwa weupe kabisa

Ova
 
Back
Top Bottom