Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wametoa mifano hapo ya you unaofanywa na ccm lakini hawafanywi lolote. Mfano yule uvccm wa bukoba aliesema wapinzani watekwe je polisiccm walichukua hatuna gani?Kwanini akamatwe mtu yoyote bila kosa au bila kufanya due dilligence ?
Kwahio kama wangekamatwa wa CCM basi na wa Vyama vya Upinzani ingekuwa sawa wakamatwe ? Ifike wakati tutetee right and wrong no matter what na sio kuuliza kwanini uonevu huu na wale hawafanyiwi...
Anataka ajibiwe na nani?Jumapili hii taarifa za kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA akiwepo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, Makamu mwenyekiti Tundu Lissu na viongozi wengine zilitangazwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.Taarifa rasmi ya msemaji wa CHADEMA ilieleza pia.
Hii Siyo Mara ya kwanza, kwa viongozi Hawa kukamatwa ikumbukwe kuwa kabla ya 4R Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh Mbowe alikuwa na kesi na alikaa gerezani kwa muda mpaka alipoachiwa.
SWALI NI KUWA JE CCM WAKO JUU YA SHERIA? Sijawahi kushuhudia tokea nijitambue kuona Mwenyekiti wa CCM au katibu wake au Makamu mwenyekiti akikamatwa na polisi kwa sababu yoyote ile! HATA wakati wa Magufuli sauti zilivyovuja hakuna aliyekamatwa?
Jeshi la polisi limekuwa kinara wa kushughulika na wapinzani badala ya kushughulikia mafao ya askari wao.
CCM Kama haitaki demokrasia itangaze kuwa Tanzania ni Serikali ya chama kimoja ili tujue. Ione Kama Watanzania siyo watu wa mchezomchezo.
View attachment 3068506
Mkuu Kama hauna V8 halafu umepost huu ujinga basi Taifa letu lina kazi kubwa Sana. Kizazi cha sasa hakidanganyiki Kama mlivyozoea kuwadanganya wazee wetuJibu lipo wazi tu kwann yeye hajawahi kukamatwa
Akijiuliza hivyo basi atapata jawabu
Hauhitaji kuwa na D tatu
Sasa tuongelee kwanini watu wanashikwa au wanakatazwa haki zao no matter ni watu gani tugombanie haki na sio kwanini wale hawashikwi pia..., kuna loopholes nyingi sana ambazo Serikali inaweza kuzitumia legally na wengine wakabanwa..., Sheria na Haki ni vitu viwili tofautiKwa akili yako timamu unahisi viongozi wa CHADEMA wana makosa yapi?? Ndio najiuliza CCM wao hawajawahi kukosea? Ushasikia mkutano wa CCM unaahirishwa na polisi?? Au huoni
Tuanze kushika watu kwa Kauli ? Mbona Kuanzia Samia hadi wapinzani wote watakuwa ndani ?Watu wametoa mifano hapo ya you unaofanywa na ccm lakini hawafanywi lolote. Mfano yule uvccm wa bukoba aliesema wapinzani watekwe je polisiccm walichukua hatuna gani?
Bashite karudi ofcn, nae karudi kazini!Alie karibu na Lucas Mwashambwa amwite tafadhali aje aseme neno hapa
Siyo lazima nijibu vile ulivyotarajia mkuuAliwahi kulala Central au hujasoma vizuri?
Pia usisahau hawa CCM hata wakisema mambo ya kijinga, mfano, Yulej aliyetamka kupoteza. watu hata kuhojiwa hajawahiJumapili hii taarifa za kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA akiwepo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, Makamu mwenyekiti Tundu Lissu na viongozi wengine zilitangazwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.Taarifa rasmi ya msemaji wa CHADEMA ilieleza pia.
Hii Siyo Mara ya kwanza, kwa viongozi Hawa kukamatwa ikumbukwe kuwa kabla ya 4R Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh Mbowe alikuwa na kesi na alikaa gerezani kwa muda mpaka alipoachiwa.
SWALI NI KUWA JE CCM WAKO JUU YA SHERIA? Sijawahi kushuhudia tokea nijitambue kuona Mwenyekiti wa CCM au katibu wake au Makamu mwenyekiti akikamatwa na polisi kwa sababu yoyote ile! HATA wakati wa Magufuli sauti zilivyovuja hakuna aliyekamatwa?
Jeshi la polisi limekuwa kinara wa kushughulika na wapinzani badala ya kushughulikia mafao ya askari wao.
CCM Kama haitaki demokrasia itangaze kuwa Tanzania ni Serikali ya chama kimoja ili tujue. Ione Kama Watanzania siyo watu wa mchezomchezo.
View attachment 3068506
Hoja mkuuMkuu Kama hauna V8 halafu umepost huu ujinga basi Taifa letu lina kazi kubwa Sana. Kizazi cha sasa hakidanganyiki Kama mlivyozoea kuwadanganya wazee wetu