Musukuma ni mkt CCM mkoa.
umakini wa kuiba kura?ni kutokana na umakini
hilo liko wazi ndugu
shida ya upinzani ni kushindwa kuuza sera tena kwa vitendoumakini wa kuiba kura?
Kama hawawezi kuuza sera polisi ya nini?? Nyie mikutano lazima waje wasanii na wanafunzi wa shule na wafanyakazi wa halmashauri ๐,shida ya upinzani ni kushindwa kuuza sera tena kwa vitendo
na awamu hii akuna mjinga wa kuwasikiliza wallah
Ikifika wakati wa uchaguzi utashangaa idadi ya polisi wanaotumwa Zanzibar, unafikiri ni kwa sababu ipi huwa wanaenda wengi?Weledi Kwa polisi ni zero.Naamini ccm hata akiamua kuanza kampeni kabla ya muda atafanya vizuri tu lakini afanye mpinzani utasikia intelijensia Imebaini viashiria vya uvunjifu wa amani.Polisi kuweni weledi,mpo Kwa matakwa ya Sheria na siyo matakwa ya watawala.
Mfano mzuri Zanzibar, Mzee Maalim Seif kadhulumiwa SanaCcm wanajiona wao ndio wenye nchi, bila wao nchi haiendi na hatawaliki. Kifupi ili ujue kuwa wanajiona hivyo, subiri next Yr uchaguzi mkuu, hata upinzani ushinde ka margin kubwa kiasi gani, ccm itatangazwa mshindi
sera zinauzwaje kwa vitendo na chama cha upinzani?shida ya upinzani ni kushindwa kuuza sera tena kwa vitendo
na awamu hii akuna mjinga wa kuwasikiliza wallah
Kama hutaki ukweli na uhakika wewe endelea kusikiliza stori za vijiweni shauri yako๐๐TBC UKWELI NA UHAKIKA AU SIYO ๐๐
Sana mkuu, uchaguzi wa 2000 ni ushahidi tosha, Karume alishakula za mbavu ila Mkapa akapeleka wanajeshi wa bara wakachafua hali ya hewa kabisa ila Maalim alishinda.Mfano mzuri Zanzibar, Mzee Maalim Seif kadhulumiwa Sana
Kwa akili yako timamu unahisi viongozi wa CHADEMA wana makosa yapi?? Ndio najiuliza CCM wao hawajawahi kukosea? Ushasikia mkutano wa CCM unaahirishwa na polisi?? Au huoniKwanini akamatwe mtu yoyote bila kosa au bila kufanya due dilligence ?
Kwahio kama wangekamatwa wa CCM basi na wa Vyama vya Upinzani ingekuwa sawa wakamatwe ? Ifike wakati tutetee right and wrong no matter what na sio kuuliza kwanini uonevu huu na wale hawafanyiwi...
Wanajua kuwatumia polisi kuiba kura ila kuwaongezea mishahara hawataki?Sana mkuu, uchaguzi wa 2000 ni ushahidi tosha, Karume alishakula za mbavu ila Mkapa akapeleka wanajeshi wa bara wakachafua hali ya hewa kabisa ila Maalim alishinda.
Hawa jamaa ni kundi lingine la fafafa, yaani huwa tunawasema walimu ila nadhani wanaotumika zaidi ni kundi hili, kwa manufaa ya nani...ccm!Wanajua kuwatumia polisi kuiba kura ila kuwaongezea mishahara hawataki?