Oscar Oscar: Kwanini Polisi hawajawahi kukamata viongozi wa CCM? Je, hawakosei?

Kwa kweli polisi wanaudhi tena wanatumika vibaya.
 
shida ya upinzani ni kushindwa kuuza sera tena kwa vitendo

na awamu hii akuna mjinga wa kuwasikiliza wallah
Kwahiyo hao wote waliokuwa kwenye magari wanaenda Mbeya siyo watu waliosikiliza ni mifugo?
 
Viongozi wakuu wa chama ni marais wa Tanzania na Zanzibar. Wao hukamatwa au hukamata yeyote wakiwemo polisi?
 
Walale central bila kufanya makosa. Hawa wapinzani vizuri wakajikita kwenye sera zao na kupinga serikali kwa hoja sio matusi na dharau kwa kiongozi wa nchi. Haya yakutiwa ndani ndio wanayapenda inawapa kick, ilikuwa hawapati airtime sasa wanapata ndio wanakitafuta
Nimekwambia viongozi wa kitaifa ni lini Katibu mwenezi wa CCM au makamu wake wa Zanzibar amelala Central?
 
Jibu lipo wazi tu kwann yeye hajawahi kukamatwa

Akijiuliza hivyo basi atapata jawabu

Hauhitaji kuwa na D tatu
 
Jamaa anaongea kwa uchungu sana. Wala hatanii
 
Kuwaleta wanafunzi ni sehemu ya kuwaelimisha kuwa CCM ni Chama Tawala, walelewe wajifunze misingi na itikadi za Chama cha mapinduzi
 
Kinanana akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM aliliamuru Jeshi la Polisi kupunguza askari wake barabarani na walitii.
 
Zikichaji mwamba anaongeaga vya maana sana ukiachana na memes zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…