Oscar Oscar: Kwanini Polisi hawajawahi kukamata viongozi wa CCM? Je, hawakosei?

Na ndiye aliyeagiza kuwasweka ndani na kuwavurugia maadhimisho yao,hizi drama hazina faida yoyote
Anatuigizia .Kwanini hakuongea wakati polisi wanatoa tahadhari ya kuwakamata CHADEMA? imagine ripoti inasema walikamata watu 520!
 
Watu wametoa mifano hapo ya you unaofanywa na ccm lakini hawafanywi lolote. Mfano yule uvccm wa bukoba aliesema wapinzani watekwe je polisiccm walichukua hatuna gani?
 
Watu wametoa mifano hapo ya you unaofanywa na ccm lakini hawafanywi lolote. Mfano yule uvccm wa bukoba aliesema wapinzani watekwe je polisiccm walichukua hatuna gani?
Mkuu usibishane naye Kama hakuelewi
 
Kuwaleta wanafunzi ni sehemu ya kuwaelimisha kuwa CCM ni Chama Tawala, walelewe wajifunze misingi na itikadi za Chama cha mapinduzi
Ni umaskini tu, kwani ushaona wanafunzi wa private wakaja kwenye mikutano yenu??
 
Anataka ajibiwe na nani?
 
Jibu lipo wazi tu kwann yeye hajawahi kukamatwa

Akijiuliza hivyo basi atapata jawabu

Hauhitaji kuwa na D tatu
Mkuu Kama hauna V8 halafu umepost huu ujinga basi Taifa letu lina kazi kubwa Sana. Kizazi cha sasa hakidanganyiki Kama mlivyozoea kuwadanganya wazee wetu
 
Kwa akili yako timamu unahisi viongozi wa CHADEMA wana makosa yapi?? Ndio najiuliza CCM wao hawajawahi kukosea? Ushasikia mkutano wa CCM unaahirishwa na polisi?? Au huoni
Sasa tuongelee kwanini watu wanashikwa au wanakatazwa haki zao no matter ni watu gani tugombanie haki na sio kwanini wale hawashikwi pia..., kuna loopholes nyingi sana ambazo Serikali inaweza kuzitumia legally na wengine wakabanwa..., Sheria na Haki ni vitu viwili tofauti
 
Watu wametoa mifano hapo ya you unaofanywa na ccm lakini hawafanywi lolote. Mfano yule uvccm wa bukoba aliesema wapinzani watekwe je polisiccm walichukua hatuna gani?
Tuanze kushika watu kwa Kauli ? Mbona Kuanzia Samia hadi wapinzani wote watakuwa ndani ?

Ndio maana mimi nakwenda above politics, nasimamia haki, usawa na kufuata sheria no matter nani anafanya (no one should be above the law) na Sheria inabidi isiwe kandamizi....
 
Malaika wema hawawezi kuwakamata Malaika wema wenzao!
Shetani hawezi kumkamata shetani mwenzake!
waliosoma Cuba wamenielewa!
 
Hii Tz bana kuna muda unafikiria unaona ipo siku tutaamka tuzinduke tubadilike , yes itakuwa ni gharama lakini lazima tubadilishe
 
Pia usisahau hawa CCM hata wakisema mambo ya kijinga, mfano, Yulej aliyetamka kupoteza. watu hata kuhojiwa hajawahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…