Oscar Oscar: Kwanini Polisi hawajawahi kukamata viongozi wa CCM? Je, hawakosei?

Hoja mkuu

Usizunguke sana
Hoja ni kwamba kwanini viongozi wakuu wa CCM hawakamatwi?? Juzi tuliona mkutano wa CCM Zanzibar Kama polisi wako fair, Makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar angekamatwa pia??
 
Ili uishi vizuri
1.tii mamlaka (serikali)
2.heshimu wazazi
3. Ishi vizuri na jamii inayo kuzunguka

Ukizingatia haya mengineo utayasikia kwenye bomba.
 
Hoja ni kwamba kwanini viongozi wakuu wa CCM hawakamatwi?? Juzi tuliona mkutano wa CCM Zanzibar Kama polisi wako fair, Makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar angekamatwa pia??
Je kuna kosa lolote wamefanya ili wakamatwe?
 
Ccm wanajiona wao ndio wenye nchi, bila wao nchi haiendi na hatawaliki. Kifupi ili ujue kuwa wanajiona hivyo, subiri next Yr uchaguzi mkuu, hata upinzani ushinde ka margin kubwa kiasi gani, ccm itatangazwa mshindi
Inatakiwa kinuke chap
 
Mnhh..
Huyuu!!😷😷
 
"Ni amri kutoka juu" Siku hizi haitumiki!?
 
Bongo kuna muhimili mmoja tu ambao ni Serikalii..!
 
Whatabout-ism hazisaidii. Kujifanya unauliza swali wakati jibu unalijua ni kejeli kwenye mambo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…