Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

Jamani Yangu wenzangu acheni roho mbaya waacheni na wao wapumue kidogo

Jinsi tulivyowanyanyasa ndani ya dk 90 inatosha
Anayeweweseka na kuropoka anajulikana.Mpaka wewe Utopolo unajua mna roho mbaya.Anapigwa punda wa Manungu lakini ajabu mnaoumia na kupiga makelele ni nyie punda wa Jangwani.
 
Na zile walizonyimwa Simba, amesemaje?
 
Reactions: Tui
Anayeweweseka na kuropoka anajulikana.Mpaka wewe Utopolo unajua mna roho mbaya.Anapigwa punda wa Manungu lakini ajabu mnaoumia na kupiga makelele ni nyie punda wa Jangwani.
We dada una maneno sana
 
Muulize mama yako anajua usongo wangu.
 
Labda Salim alijifunza kutoka kwa kipa huyu wa Yanga, Rostand

Your browser is not able to display this video.
 
Muulize mama yako anajua usongo wangu.
Ushabadili gia ya matusi. Nimekukunbuka. Sawa nimekuelewa. Lkn sijawahi kuchangia threads zako
 
Wow unatukana usitukanwe.Sitaki uchangie threads zangu kwani huongezi chochote bali utoto tu.
 
Sawa..basi tufanye 2- 1 je Utopolo bado mtabeba NGAO?
 
Reactions: Tui
Wow unatukana usitukanwe.Sitaki uchangie threads zangu kwani huongezi chochote bali utoto tu.
Sijawahi coz hakuna cha ku-gain. ila wewe ndo unakesha kwenye threads zangu
 
Wewe ni mjinga tu na attention seeker ukiambiwa ukweli unatukana ukitukanwa unalia lia kama kigoli.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=pt_fQwsgH-8
 
Wewe ni mjinga tu na attention seeker ukiambiwa ukweli unatukana ukitukanwa unalia lia kama kigoli.
Mbona mimi sichangii threads zako?
 
Hajazungumzia faulo aliyochezewa KIBU D kwenye penalty box?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…