Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

Jamani Yangu wenzangu acheni roho mbaya waacheni na wao wapumue kidogo

Jinsi tulivyowanyanyasa ndani ya dk 90 inatosha
Anayeweweseka na kuropoka anajulikana.Mpaka wewe Utopolo unajua mna roho mbaya.Anapigwa punda wa Manungu lakini ajabu mnaoumia na kupiga makelele ni nyie punda wa Jangwani.
 
Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).

Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Na zile walizonyimwa Simba, amesemaje?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
.
FB_IMG_1692345099821.jpg
 
Anayeweweseka na kuropoka anajulikana.Mpaka wewe Utopolo unajua mna roho mbaya.Anapigwa punda wa Manungu lakini ajabu mnaoumia na kupiga makelele ni nyie punda wa Jangwani.
We dada una maneno sana
 
Muulize mama yako anajua usongo wangu.
 
Labda Salim alijifunza kutoka kwa kipa huyu wa Yanga, Rostand

Wow unatukana usitukanwe.Sitaki uchangie threads zangu kwani huongezi chochote bali utoto tu.
 
Sawa..basi tufanye 2- 1 je Utopolo bado mtabeba NGAO?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Wow unatukana usitukanwe.Sitaki uchangie threads zangu kwani huongezi chochote bali utoto tu.
Sijawahi coz hakuna cha ku-gain. ila wewe ndo unakesha kwenye threads zangu
 
Wewe ni mjinga tu na attention seeker ukiambiwa ukweli unatukana ukitukanwa unalia lia kama kigoli.
 
kasema pia Yanga walikuwa off side.. hakuna sehemu walionewa

kuhusu ally salim kutoka kabla ya mpira kupigwa ni makosa ya mwamuzi wa kati siyo mshika kibendera ... kama Wanavyo lalamika Uto. kazi ya mshika kibendera ni kuangalia kama goli limeingia.

Pia kasema ile ya kibu ni penalty.. maana kama Aucho alicheza mpira basi ilitakiwa iwe kona. ila Tuka shangaa imekuwa goal kick. na hamna penalty.

pia simba walinyimwa penalty halali.. watu wana nawa ndani ya box..

View: https://m.youtube.com/watch?v=pt_fQwsgH-8
 
Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).

Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Hajazungumzia faulo aliyochezewa KIBU D kwenye penalty box?
 
Back
Top Bottom