You are not my wife why should I deserve your attention?.Moron.You don deserve my attention
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are not my wife why should I deserve your attention?.Moron.You don deserve my attention
Anayeweweseka na kuropoka anajulikana.Mpaka wewe Utopolo unajua mna roho mbaya.Anapigwa punda wa Manungu lakini ajabu mnaoumia na kupiga makelele ni nyie punda wa Jangwani.Jamani Yangu wenzangu acheni roho mbaya waacheni na wao wapumue kidogo
Jinsi tulivyowanyanyasa ndani ya dk 90 inatosha
Na zile walizonyimwa Simba, amesemaje?Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Wafanye kila juhudi ili jopo hili lichezeshe ili malalamiko na visingizio vipungue wakifungwa.
malezi ya baba wa kambo ni hatariYou are not my wife why should I deserve your attention?.Moron.
We dada una maneno sanaAnayeweweseka na kuropoka anajulikana.Mpaka wewe Utopolo unajua mna roho mbaya.Anapigwa punda wa Manungu lakini ajabu mnaoumia na kupiga makelele ni nyie punda wa Jangwani.
Mumeo lazima ana msongo wa mawazoWafanye kila juhudi ili jopo hili lichezeshe ili malalamiko na visingizio vipungue wakifungwa.
Ushabadili gia ya matusi. Nimekukunbuka. Sawa nimekuelewa. Lkn sijawahi kuchangia threads zakoMuulize mama yako anajua usongo wangu.
Sijawahi coz hakuna cha ku-gain. ila wewe ndo unakesha kwenye threads zanguWow unatukana usitukanwe.Sitaki uchangie threads zangu kwani huongezi chochote bali utoto tu.
kasema pia Yanga walikuwa off side.. hakuna sehemu walionewa
kuhusu ally salim kutoka kabla ya mpira kupigwa ni makosa ya mwamuzi wa kati siyo mshika kibendera ... kama Wanavyo lalamika Uto. kazi ya mshika kibendera ni kuangalia kama goli limeingia.
Pia kasema ile ya kibu ni penalty.. maana kama Aucho alicheza mpira basi ilitakiwa iwe kona. ila Tuka shangaa imekuwa goal kick. na hamna penalty.
pia simba walinyimwa penalty halali.. watu wana nawa ndani ya box..
Mbona mimi sichangii threads zako?Wewe ni mjinga tu na attention seeker ukiambiwa ukweli unatukana ukitukanwa unalia lia kama kigoli.
Hajazungumzia faulo aliyochezewa KIBU D kwenye penalty box?Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Hata wewe unaruhusiwa kuzungumziaHajazungumzia faulo aliyochezewa KIBU D kwenye penalty box?