GE2025 Othman Masoud: Kuhusu mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM tuendelee kuchukulia kama tuhuma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Muislamu tena mzanzibar akili.azitoe wapi act ni project ya ccm kama ilivyo CHAUMMA
Wkt ndio wametafuta uhuru wa Tanganyika babu zako walikuwa wanapanga foleni ya kupokea vi Beskuti kanisani wakaona maisha wameyapatia. 😅😅
 
Mlifikiri kila mtu ni mpumbavu km nyie kizazi cha nyoka? Vitoto vinavyitumia makalio kufikiri, ni mwehu na taahira tu ndio huweza kumwamini huyo bichwa la papai. Nyie wapuuzi mlioko humu mitandaoni kwanza siyo wapiga kura hamna kadi, pili ni wachache mno hamfiki ht 2%, hakuna impact mnayo ktk mustakabali wa nchi hii, tutawachagulia viongozi tunaowataka na mtaongozwa penda msipende. Hilo la huyo nguchiro litapita na mtaokoteza tena kingine. Huyo Polepole mwenyewe anawacheeeka anaona amelamba mafala kwani anajua amezushia uwongo usiokuwepo.
 
Tanganyika we uliifahamia wapi, we ni mburukenge unayefuata mkumbo usioujua, tupatie ramani ya hiyo nchi we kibwengo, ndio maana hamjui ht mnataka nini, nyie nyumbu mtaongozwa mpk Yesu arudi maana ht hamjitambui. Chadema ilikimbia uchaguzi ikijua haitashinda badala yake wanataka kuleta uhaini, uasi, ugaidi hakuna hiyo nafasi hp Tanzania nyie ngedere wa mwituni
 
Kashashiba huyu hana analojali.zaidi ya kufikiria posho na.status atakayokuwa nayo baafa ya uchaguzi.hajali tena maslahi ya mzanzibar masikini anayeteswa na.utawala.wa.ccm
 
amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
Unapokuwa mnufaika na kusahau uhanga uliokuzunguka miaka yote ya nyuma!
Huyu hakumbuki tena kwamba Maalim Seif alipokonywa ushindi mchana kweupe. Bila shaka ukimuuliza akueleze mkasa huo sasa hivi atakwambia "hizo zilikuwa ni shutuma tu", kama anavyo shuhudia haya yanayotokea sasa.

Kwanza, Zanzibar imepata koloni linalowafaidisha wote; ya nini aendelee kudai "vimamlaka" vya ki-inchi ambacho tayari kinamiliki koloni zima kubwa!
 
Hana Interest na mambo ya Tanganyika maana iNEC kwa kiwango kikubwa inadeal na uchguzi wa JMT ambao yeye kama mzanzibari haupi priority kama ule unaosimamiwa na ZEC
Huyu OMO alikuwa anapigania "Mamlaka Kamili"; sasa Samia kawapa zaidi ya mamlaka; kwafanya kuwa wakoloni wa taifa jingine walilokuwa wanafikiri limepora mamlaka ya ki-nchi chao.
Hapo ungetegemea alalamikie kitu gani cha ziada!
Kwanza hao wenzake wote wangemshangaa sana!
 
Kateuliwa sasa


Waliwafira kabisa acha kuwatetea. Mwangi na mwenzie walibakwa kwa mujibu wao wemyewe


Hahaha ndio mambo CCM wanapenda hayo...


Unatia moyo kama Bado wapo wa TZ wenye maono mazuri kama Yako
 
Pamba fuuuu
Msituone wote wajinga
Who the hell kutuamrisha WaTanga nyiiiika!
Mnatuchukulia pouwa sana.
Punguzeni porojo kimeumana kimeumana
Ni uharamia wenu period.
 

..UHURU wetu wa Dec 9, 1961, tuliteremsha bendera ya Muingereza, tukapandisha bendera ya TANGANYIKA.
 
Huyu naye kweli ni project maalum, kwa mwanasheria nguli kama huyu nilitegemea aseme kwa vile hizi ni tuhuma basi mifumo inayodaiwa kudukuliwa ikaguliwe na wakaguzi huru ili tujiridhishe usalama wake kabala hatujaingia kwenye uchaguzi lakini kaongea kama Jimmy Mafufu tu, ovyo kabisa.
 
Tuhuma nzito namna hii ijibiwe vizuri
 

NI KWELI KABISA . LOWASA ALISHINDA UCHAGUZI LAKNI WAHUNI NDANI YA CCM WALIFANYA MAPINDUZI YA KITEKNOLOJIA NA KUBADLI MATOKEO .
TENA WALIHOFIA KUWA MWENYEKITI WAKATI HUO ALIKUA NI JAJI LUBUVA AMBAYE ALIKUA NI MWADILIFU SANA ASINGEKUBALI KUGEUZA MATOKEO KAMA YASINGECHAKACHUKIWA NA AKINA JANUARI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…