Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

1 Oct 2014

Mwanasheria Mkuu Zanzibar aibuka BMK, apiga kura kukataa Ibara muhimu Katiba inayopendekezwa​


Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman leo ameibuka katika Bunge Maalum la Katiba na kupiga kura ya wazi ambapo alipiga kura ya hapana katika baadhi ya Ibara za rasimu ya Katiba. Hali hiyo iliibua maswali kwa baadhi ya wajumbe waliohoji kuibuka kwake leo wakati hakuwepo muda mwingi Bunge hilo lilipokuwa likiendelea.
 

08 October 2020​

Gumzo na Mwanasheria Othman Masoud: Nafasi ya Umoja wa Kitaifa kwenye Ajenda ya Zanzibar (Silsila 2)


8 Oct 2020
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, anazungumzia nafasi ya umoja wa kitaifa kwenye ajenda ya Zanzibar, sio tu kama matakwa ya kikatiba bali pia matakwa ya kijamii na kiuchumi. Ambatana naye hapa.
Source : Gumzo la Ghassani
 
Sio tu kwamba ni Mpemba, bali anatokea Pandani, Kaskazini Pemba.

Pandani ambako siasa ni sehemu ya maisha, muungano huanza kujadiliwa na watoto wa shule, Pandani ambako ni chimbuko la siasa za upinzani, kitovu cha wasomi wabobezi katika fani mbalimbali, Pandani iliyozalisha baadhi ya maspecialist na masuper-specialist (waliopo hata AGA Khan, Hindu Mandal to mention few...), Pandani iliyozalisha wanasheria, waandishi, wahandisi n.k. Pandani inayong'aa ndani ya kisiwa cha Pemba na hata kwa Diaspora.

By the way, mm kwetu sio Pemba, ila nimeishi na mtaalamu wa IT kutoka Pandani.

Mpemba au Muunguja mwenye kujua...
 
Huyu Jamaa ni mtu hatare sana

Alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Znz wakati wa Dr Shein, alisaliti msimamo wa Serikal akajiunga na Upinzani Bungeni hadi akafutwa Kazi!
 
Huyu Jamaa ni mtu hatare sana

Alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Znz wakati wa Dr Shein, alisaliti msimamo wa Serikal akajiunga na Upinzani Bungeni hadi akafutwa Kazi!

Ni mtu makini sana, tutegemee ushauri wake utaimarisha Zanzibar na kunufaisha Tanzania kwa ujumla.

Baada ya kufuatilia maandiko, mahojiano, mihadhara na uwezo wake wa kuona mambo ktk ukubwa wake wenye factors nyingi, hakika watu kama huyu ktk Tanzania hususan Makamu wa Rais wa Zanzibar mpya ataleta mabadiliko makubwa na Tanzania kurudishiwa heshima yake.

Atamshauri rais wa Zanzibar bila kutaka kutoa ushauri wa kumfurahisha Mh. Rais Bali kumsaidia ili aweze kuamua au kutoa maelekezo yaliyo sahihi.
 
Huyu Jamaa ni mtu hatare sana

Alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Znz wakati wa Dr Shein, alisaliti msimamo wa Serikal akajiunga na Upinzani Bungeni hadi akafutwa Kazi!

Msimano wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ni kulinda katiba ya Zanzibar na kusimamia maslahi ya Zanzibar na wazanzibari, alicho simamia yeye maslahi ya Zanzibar kwa mujibu wa katiba.

Sema tu alisaliti msimamo wa ccm Tanganyika ,
 
Ni kweli ,ila kuna kipindi Seif alianza kuyumba akakosa pakushika.
Miaka ya tisini kuja 2000,alikua akidai mamlaka kamili,akaja serikali ya mkataba,mwishoni apa akaja na madai ya serikali tatu.

Ni kweli Lkn alicho kifanya yeye ni mtazamo wa wananchi, kwa kadiri tunavyo kwenda siku za mbele, mahitaji ya wananchi hubadilika, ila wazanzibari wanataka Muungano wa mkataba
 
Tofauti ya Makamu wa kwanza wa Rais na wa Pili ni ipi? Nani anawajibika kkwa mwenzake? Mshahara wao wote wawili upo sawa?
 
Back
Top Bottom