Othman Masoud wa ACT Wazalendo amfagilia Hayati Magufuli. Hii ina maana gani?

Ni haki yake kikatiba
 
Mbona ypo tofauti na mtazamo wa kiongozi wake zitto kabwe kuhus magufuli?Maana yake hakuna maskilizano ndani ya chama, pia hii ni ishara kuwa zitto hajaingia kwenye mioyo ya wanachama wa ACT upande wa visiwani, any way anatafuta nafasi ya Maalim Seif iwe yake,umaarufu wa kiasiasa, huyu 2025 atagombea uraisi huko znz
 
Jamaa kaanza chokochoko naona kachoka kuwa Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Maana nafuatilia Ziara zake na Jussa wanampiga mawe Dkt Mwinyi kama wao hawako Serikalini
Wanasemaga freedom of expression !! Kuwepo katika serikali ya mseto sio fadhila Bali ni takwa la katiba ya Znz, Au Mimi tu ndio sielewi wajameni ?!
 
Kweli asali tamu
 
Ben saanane kupotea rais anahusikaje? Mfano saizi kuna familia ya watu 6 wameuawa, rais samia anahusikaje? Isitoshe wanachama wa Chadema wakiongozwa na Kubenea walisema wanajua Ben alipo.

Watu wasiojulikana ni msemo tu, kwani saizi wanaofanya matukio ya ajabu wote wanajulikana? Ni nani ameua familia ya watu 6 kwa mpigo? Mnawajua?

Ukiacha chuki na njaa za wapigaji, JPM was the best president ever.
 
Ww kumbe hauna Akili,yule chadema wanae mtafuta hajapatikana vituo vyote vya polisi mpaka wameenda kumfungulia IGP Kesi,nae kapotea utawala wa Magufuli,wamachame mnamatatizo gani kwenye Roho zenu?
 
Dah hata hitler bado anatrend

Kila mtu anatrend kwa Uzuri Na ubaya wake....Hitler alikuwa mtesi kwa mataifa mengine hasa wayahudi...Magufuli kafungua njia Watu kujitambua kama Akina Halima mdee na wenzake,ww huon kwamba hiyo ni hatua kwa Chama chenu cha Nyumbuzi peoples!!!?
 
Bwana wee! Mm mwenyewe nikeogopa Sana. Nikafungua uzi kwa kasi.ya upepo nidhani dikteta dhalimu limefufuka.

Ashukuriwe Sana Mungu kwa kutwaliwa kwake.
Mamako atazikwa chini futi 6, utajua tofauti ya msiba na siasa.
 
Una kihemuhemu; hujamsikiliza vizuri! Hukubaini Sarcasm katika sentensi hiyo na umaliziaji wake! Kifupi alimaanisha nchi imejifunza umuhimu wa kuwa na "taasisi imara" badala ya strongman au a TYRANT aka dikteta uchwara, na kwa hiyo umuhimu wa katiba mpya ili tufanye vitu kwa mujibu wa sheria wala sio kwa utashi tu wa mtu mmoja!
 
Huo ndiyo ukweli ..uwezi kumfananisha jpm na haya mafii ya sa10
 
Hao kazi yao ilikuwa kuua maadui wa uzalendo hivyo mfumo wa wasiojulikana wa magufuli unatakiwa kudumishwe kwa kuwekewa system kabisa ...tofauti na sasa wasiojulikana wanateketeza wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…