WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kifo cha watu 6 Kigoma ni tofauti sana kile kifo kimetokana na madaiano lakini kifo cha Ben Saanane ni cha kisiasa chini ya dhalimu mwendazakeBen saanane kupotea rais anahusikaje? Mfano saizi kuna familia ya watu 6 wameuawa, rais samia anahusikaje? Isitoshe wanachama wa Chadema wakiongozwa na Kubenea walisema wanajua Ben alipo.
Watu wasiojulikana ni msemo tu, kwani saizi wanaofanya matukio ya ajabu wote wanajulikana? Ni nani ameua familia ya watu 6 kwa mpigo? Mnawajua?
Ukiacha chuki na njaa za wapigaji, JPM was the best president ever.