Othman Masoud wa ACT Wazalendo amfagilia Hayati Magufuli. Hii ina maana gani?

Kifo cha watu 6 Kigoma ni tofauti sana kile kifo kimetokana na madaiano lakini kifo cha Ben Saanane ni cha kisiasa chini ya dhalimu mwendazake
 
Yaani umeandika UPUMBAVU mtupu
 
Its a matter of comparison, Magu ni bora kuliko Mama licha ya madhaifu yake lakini tulihitaj Mtu bora zaid ya Magu.
Tatzo siyo Magu/Samia tatizo ni Mfumo unaomweka Magu/Samia madarakan.
Hutopata Bikra kamwe ndani ya Wodi ya Wazazi.
 
Very clever learned brother! Hajamfagilia jiwe, amesema kuwa kwa ujasiri ule ungekuwa ndani ya mfumo mzuri wa kisheria na kikatiba tungefika mbali.
Nami nasema kama kungekuwa na katiba mpya na yule bwana akafuata katiba hiyo. Hatujakuwa na Putin wa Africa ila Magufuli. Interest za watanzania zilikuwa moyoni mwake.
 
Hivi kwanini mtu akifa ananafikiwa hivi, Hata Mama akila kona mtampa Penalt tu.

Hata wewe ukifa Utasifiwa humu jf.
 
Kamfukue ili uzidi kukiri kuwa ni kiongozi bora
Kwakweli sijahi kufall in love na Viongozi,, Nashangaaga hawa watu wenye mahaba na viongozi badala walilie mfumo utakaodumu milele.
Ukimlilia magu atakuja ataenda ukimlilia lisu atakuja ataenda bado haitosaidia kwa vizqzi vijavyo cha msingi ni Katiba inayomlazimu Kiongoz kutenda sawa na Matakwa na Haki ya Wananchi kwa Masrah ya Taifa zima.

Utakuta mtu anamwabudu Nyerere mwingine Magufuli hujui binadamu ni upepo.
 
Mbona ww ndio umeenda Chaka sana kwa sababu haya unayosema mimi sikuyasikia akisema bila shaka umepachika utashi wako binafsi labda kama kuna mtu alisikiliza pia atusaidie eti haya aliyosema huyu ndugu mliyasikia siku Ile?
 
Punguzeni matusi jamani hili ni jukwaa la great thinkers sio great tukanazi
Uko sahihi lakini vijana wenu wamezidi,hatuwezi fanana mawazo na tabia hata siku moja,wanachofanya ccm kwa chadema kwenye nchi inayoheshimu mfumo wao wa nchi je sahihi?
 
Tofauti ya Hitler na Mzee baba JPM ni kubwa sana, JPM anatrend kwa sifa kubwa mtaani ila nyie wa mitandaoni ni wachache mno.
Sasa ona Mmeanza mpaka kucompare Majitu na vijitu[emoji849]
 
Ktk issue ya kujenga izo mambo ni minor cases
 
Ujasiri ni mzuri ila bila akili,hekima na busara unakuwa ni disaster, pengine ndio maana anasema inahitajika mifumo👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-202202.png
    63.9 KB · Views: 2
Zidumu fikra za Magufuli. Mafisadi ya JF yanashangilia kifo chake kila Mara yanapoona andiko linalomhusu Mwana mtukuka JPM wa Africa.
 
Tafsiri yake, CHUMA kimelala na kipumzike kwa Amani kwa sababu kazi zake zinaishi.
 
Punguzeni matusi jamani hili ni jukwaa la great thinkers sio great tukanazi
You're right mkuu tatizo vijana wana mihemko mikubwa hawajui kuna wazee humu tulishatoka kwenye foolish age yao.

Kuna time tukikaa kimya wanajisahau so, tunawapa lugha ya staha waone ilikuwaje, wanapofungua midomo yao yenye harufu mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…