N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
Wababa wana fwezaaKhee wababa tena😂 hapo nilishindwa
Wababa wana fwezaaKhee wababa tena😂 hapo nilishindwa
Ok. Ila tuna choma figo na maini. KonyagiI like you BIGGIE👌🏽
Wewe sasa ndo mwanamke mwenye akiliWanaume wana kazi sana
Ona wanapangiwa wale nini na kunywa nini
Na hiyo kazi haina turupurupu wala mshaharaWanaume wana kazi sana
Ona wanapangiwa wale nini na kunywa nini
Badilika, na ujue nini maana ya uhusiano, ( mtu wa Aina yako hata ukiwekwa ndani, siri zote za familia zitahifadhiwa kwa majirani ) 😊😊M
chango wangu haukusaidii kitu
Ana offer UCHI after outingKama ananunua kwa pesa yake yupo sahihi, em tuambie ww mwanamke kwenye hiyo outing umewekeza nini cha maana
Kwa hiyo sisi tule maugali nyie vyepe, mbona vyote ni wanga tuNi aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.
Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Sisi tunakulaga tu aibu kwako madamNi aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.
Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Anadhan kula maugali ni sifa au ndio ngivu asijue ni wanga kama wali na chipsi tuTutafika tu sasa tumehamia hata kupangiana chakula.
Wanawake mna demand nyingi kama tariff za trump. Wewe kula unachotaka atalipa, yeye kaamua kula na kunywa anachotaka.
Hivi unajua jamii zote zinazokula ugali zinaongoza kwa umasikini kwa sababu ugali unawafanya watu wasiwe na akili. Na jamii nyingi za hivi ziko afrika kusini mwa jangwa la sahara
Okay goodSijamsema mtu ila niliyojionea mara nyingi