Me papuchi siipi kipaumbele, sijaoa.Mkeo mwenyewe anakupangia
KabisaWanaume wana kazi sana
Ona wanapangiwa wale nini na kunywa nini
Si wengine outing tuna kula ugali na kitimoto rost au choma alafu tuna shushua na konyagiNi aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.
Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Wanawake wa Dar na wanaume wenu mnafanana .Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.
Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Mhh split hela au mahusiano? Maana mkiambiwa msplit bili,nina uhakika baada ya hapo unasplit na mahusiano kabisa.Tuna Split
Kasongo yeyeee…😹😹Ni aibu kwa fala kama wewe unadai 50/50 lakini unategemea outing ya wanaume then unawakejeli as if unajua pesa walitoa wapi🖕🏾