secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kumanyoko zake.Ni aibu kwa fala kama wewe unadai 50/50 lakini unategemea outing ya wanaume then unawakejeli as if unajua pesa walitoa wapi🖕🏾
Al-mukheef
Kumanyoko zake.Ni aibu kwa fala kama wewe unadai 50/50 lakini unategemea outing ya wanaume then unawakejeli as if unajua pesa walitoa wapi🖕🏾
Hivi nyie wadada wa jf hao wanaume wa ajabu mnawatoaga wapi 🤣🤣🤣🤣Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.
Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
SawaTutafika tu sasa tumehamia hata kupangiana chakula.
Wanawake mna demand nyingi kama tariff za trump. Wewe kula unachotaka atalipa, yeye kaamua kula na kunywa anachotaka.
Hivi unajua jamii zote zinazokula ugali zinaongoza kwa umasikini kwa sababu ugali unawafanya watu wasiwe na akili. Na jamii nyingi za hivi ziko afrika kusini mwa jangwa la sahara
Wewe ni mjingaHata Forum yenyewe umeisoma lakini, Chitchat
Duh,kweli kazi tunayo na ukiangalia ktk outing hana contribution yyte zaid ya mbususuWanaume wana kazi sana
Ona wanapangiwa wale nini na kunywa nini
Gatch you 👍👍👍Chitchat usikaze sana my brother