Outings na mwanaume wa hivi ni uchafu

Outings na mwanaume wa hivi ni uchafu

Wanawake wa Dar na wanaume wenu mnafanana .

Agiza Kange la samaki, ugali wa muhogo, Juice nzito safi, maji ya Kilimanjaro .

Agiza Nyama ya mbuzi ya kuchomwa kilo 2, kichuri pemben, Ugali ,Juisi Maji

Watu wa Dar mnashida gan???
Carlos😘
 
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.

Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.

Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Halafu mkipigwa matukio mnaita wanaume mbwa. Pesa nitafute mwenyewe unipangie jinsi ya kutumia na huyo jamaa alishaona huna value ndio maana outing imekuw weird kwako jamaa alitaka muda ufike akojoe apite kushoto.
 
Tafuta pesa sio kila outing ni ya Mapenzi
 
Hahaha Kwahiyo tusiagize reds ? Ila mimi kusema ukweli nampenda sana Mpenzi Konyagi na nyama choma. Nikikosa hiyo ni ka kvant
 
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.

Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.

Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Ulitaka anywe pombe kali ili umsearch mifukoni?
 
Kuna demu nilitoka naye out, muhudu alipokuja kutusikiliza Dada akaagiza Konyagi kubwa slices za ndimu, ice cubes na maji Kubwa. Mzee mikafakia, na glass mbili
 
Back
Top Bottom