Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Ugomvi wa 2pac na Big haukuanza kwenye wimbo.

Ni hivi.. 2pac na Big walikuwa marafiki wakubwa sana maana wote ni wazaliwa wa New York, japo mazingira ya kimaisha yalisababisha waishi miji na maeneo tofauti yani 2pac akiishi LA California na Big akiendelea kuishi alipozaliwa New York.

2pac alimchukulia Big kama mdogo wake, hivyo mara nyingi alipokuwa anaenda kupiga show kadhaa maeneo mbali mbali ya nchi alimpa Big shavu na yeye aimbe ili kumtengenezea jina.

Mwaka 1994 2pac akiwa New York alipanga kwenda kumtembelea rafiki yake Big katika studuo yao ya Bad Boyz. Kama ilivyo ada ya marafiki, kabla 2pac hajaenda alimpigia sim Big na kumtaarifu kuhusu ugeni wake huo ambapo Big alikubali aende atampokea. 2pac alipofika katika jengo la studio wakati akapewa address na Big kwamba apande ghorofa ya ngapi kwa kutumia lift ya mjengo huo. Wakati 2pac akiingia ndan ya lift ghafla wakaingia vijana wengine watatu ambapo wakati lift ikiwa katika michakato ya kupanda wakatoa bastola na kumtaka 2pac achojoe kila alichonacho. 2pac japo aliona jamaa wana bastola na wako serious kwa kile wanachoongea, lakini alikataa unyonge na kuamua kutoa bastola yake aliyokuwa ameificha kiunoni nyuma ya mgongo (kumbuka 2pac ameanza kutembea na bastola akiwa na umri wa miaka 12 kutokana na maisha ya kitaa na mshike mshike aliyokulia) wale jamaa walipoona 2pac anatoa bomba ndo wakaaona wamuwahi kwani wangefanya mzaha kidogo wangeangushwa wao.

Jamaa wakampiga risasi tano akapoteza fahamu (wao wakajua amekufa) na kuchukua kila alichokuwa nacho zikiwepo mkufu wa dhahabu na pete yake pamoja na hela wakakimbia.

2pac alipozinduka akajikuta yupo hospital afu si Big wala Bod Boyz yoyote aliefika kumuona, kitendo kilichomfanya 2pac ahisi kwamba lile tukio lilipangwa na Big kwani haiwezekani best friend wako apigwe risasi wakati akija kukuona afu wewe ushindwe kufika hospital na usimpigie hata simu. Kibaya zaidi wakati Big anatoa nyimbo yake fulan alivaa pete inayofanana na ile aliyoibiwa 2pac.

Hilo likamfanya 2pac aamini kuwa rafiki yake huyo alim set up hivyo na yeye hakupenda unafiki akaamuwa kuweka wazi kuwa kuanzia siku hiyo yeye na Big urafiki basi na kwamba sasa ni maadui rasmi. Kama hiyo haitoshi 2pac alipotoka jela tu akam seti mke wa Big watoe nae nyimbo inayoitwa You wonder why i call ya bi...t ch.
Mke wa Big (Faith Evans) pamoja na kwamb alifahamu ugomvi wa mumewe na 2pac lakini alikubali kwenda kuingiza kurecord nyimbo hiyo, na 2pac akatumia mwanya huo kufanya yake. Inasemekana 2pac alikuwa na ulimi fulan ambao akiongea dem yoyote hachomoi. we fikiria mtu kagombana na mumewe lakini katengenezwa hadi katengenezeka kwenda ku record [emoji23][emoji23][emoji23].
Baada ya ku record na kutafuna 2pac ndo akaweka bayana kila kitu hivyo uadui ukazidi na wale waliokuwa na malengo yao wakatumia chance hiyo kufanya yao. 2pac kabla ya ugomvi wake na Big alikuwa na ugomvi na serikali kwa kuwatukana wazi wazi viongozi wa nchi kutokana na ubaguzi wao wa rangi, alikuwa na ugomvi na polisi, FBI nk kwa sababu mama yake alikuwa katika list ya watu waliounda kundi la Black Panther lililokuwa vuguvugu la kudai haki za watu weusi.

Kwahiyo huenda serikali (FBI) walitumia mwanya huo kufanya yao, maana nyimbo zake ni kama vile zilikuwa zinawashtua na kuwafungua macho watu weusi wadai na kujua haki zao kitu ambacho serikali iliyokuwa inaongozwa na wazungu hawakukipenda.
Kuna ka kipande umekaacha, baada ya Pac kupigwa risasi inasemekana akuzimia km ulivyosema alipigwa tu still aliweza kujivuta mpk kufika juu akawakuta wana bahati mbaya baada ya kumpa pole wakaanza kumcheka. Jamaa akaclaim kuwa wao ndo waliplan yeye kupigwa risasi jambo ambalo halikuwa kweli kwan kwa kipindi hiko Pac alikuwaa ashajiunga na kundi fulani la kimafia wale walikuwaa wanarun show km ilivyokuwaa Clouds ya enzi hizo ukiwazingua unapoteaaa.

Kitendo cha kumcheka then Pac aki claim kuwa wana wamemfanyizia basi wana (Biggie na Diddy) wakaingia studio wakatoa ngoma ya "Who Shot Ya" wakimlenga mwamba mule ndani wakanyaaaa mbovuuuuu ukisikiaa ile ngoma hasii ile Studio Version wana wamemdhihakiii mnooo mwamba. Kumbuka PaC nae nyakatii hizoo ndo yuko na lile kundi lake la OUTLAWZ (YAKI KADAFF, E.D.I MEAN, KASTRO, HUSSEIN FATAL, NAPOLEON, MAKAVELI) wakazama studio wakatoaaa "All time Diss trak" "HIT EM UP" mule ndani Pac Amekunya mbovu mpk akamwambia unajiona mwamba ila " You claim to be Player but i Fucked you Wife" ahahaha Yaan https://jamii.app/JFUserGuide and Motherfucker kwenye wimbo mmoja tu zimetajwaa mara 35. Huu wimbo ndo ulikolezaaaaaaa bifuuu maana hakuna jiwe liliachwa Juu ya Jiwe Pac alimchana kilaaa mtuu wengine mpaka personal Life za watu...
Kama Lil Kim
Dropp Mobb huyu aliambiwaa ww una sickle cell
 
Aliyemshuti Pac pale new york studio ni member wa seti moja ya crips ya new york ila hajulikani na alipewa oder ya hit na OG a.k.a god father Kenneth Supreme Mcgriff wakawaibie wale wasanii kutoka west coast waliokuwepo pale new york kwenye ile studio siku ile.

Big alidandia tu upepo na kutoa""who shoot ya"" zikiwa ni hasira baada ya 2Pac kumlaumu wala hakuhusika na like tukio,ila story za kupotosha zimekua nyingi.Na aliyemuua 2Pac alikua Mac Andreson(Orlando) na washirika wake kutoka seti moja ya compton crips kwa ugomvi binafsi baada ya Pac na washikaji zake kumpiga pale Las Vegas wakimutuhumu kumuibia mmoja wa washikaji wa 2Pac anaitwa Daz dillinger kama sikosei jina lake cheni.Sema theory's nyingi hazisemagi ukweli.

Kumbuka 2Pac amekulia new york kabla ya kwenda vallejo California na yeye na Big na faith evans na keysha cole na ray ruv walikua marafiki toka high school,sema utafutaji katika maisha ndio uliowatenganisha.Kuna mahojiano Big anakiri kabisa kua 2pac alikua mshikaji wake sana sema tu ushindani wa mziki na gangs afliation,s ndio vilivyowatenganisha.
Boss kwenye Para ya Kwanza i wish ulikuwa una wa refer.... James Rosemond ("Jimmy Henchman"), na Jacques Agnant ("Haitian Jack") awaa walikuwaa ndo wanarun the Show walikuwa kama wanashikiria Gem ya music wakiwa ma Godfather na Wauza miahadarati lakni wakiwa ni mapromoter wa wakali wa enzi hizo, Wanadaii Pac ni kama aliwazingua ndo wakatuma madogo wakamshikishe adabu, Na pac aliwachana kwenye Hit em Up
 
Ulienda kumjulia hali? Vipi ulionana na akina Gaddafi na Napoleon walikua on guard mda wote nje ya hospitali wakiwahofia opp gangs member wasije wakammakizia Pac.

Kabla ya oparesheni ile ya kutoa risasi kwenye pafu,alikua tayaei amepoteza vidole vitatu vya mkononi na amepooza upande mmoja alikua na fahamu ila hawezi kuongea bali kwa ishara.

Ni maelezo ya Napoleon aliyoyatoa kwenye interview yake na Vlad TV
Yaki Kadafi ambae alimuonaa muuajii ALIPOANZA KUSEMA ATAMTAJA MUUAJI nae akala Chuma
 
Suge anakesi zaidi ya 15,na kila inapofika tar huwa anapandishwa mahakamani..
Wakati anafanyiwa escoter ndipo Alionekana akiondoka na mama ake biggie...

Rudi kagoogle tena halafu uje na maelezo yako.
Tafuta documentary za SUGE na 2pac,ndio utanielewa.
sio umesoma udaku TMZ halafu unakuja kupayuka humu
Weee koma mpuuzi wewe, Gene Deal hana uhusiano wa damu na Diddy, Lil Cease hana undugu na Biggie, mpaka hapo we ni lofa mmoja tu unaejikuta unataka kujua kisa vi documentary, nimeviangalia vingi sana. Unaropokaropoka tu, eti mamake Biggie aliondoka na Suge, lini? Kwenda wapi? Chizi kweli wewe. Voletta yupo zake New York, Suge yupo Cali. Hujui ata umbali na tofauti yake. Eti walionekana wanaondoka wote, mtu kafungwa anapelekwa na a ton of security guard au unadhani ni bongo hiyo, alafu story za udaku za vijiweni kakae na watoto wenzio uwadanganye.
 
Boss kwenye Para ya Kwanza i wish ulikuwa una wa refer.... James Rosemond ("Jimmy Henchman"), na Jacques Agnant ("Haitian Jack") awaa walikuwaa ndo wanarun the Show walikuwa kama wanashikiria Gem ya music wakiwa ma Godfather na Wauza miahadarati lakni wakiwa ni mapromoter wa wakali wa enzi hizo, Wanadaii Pac ni kama aliwazingua ndo wakatuma madogo wakamshikishe adabu, Na pac aliwachana kwenye Hit em Up
Angalau wewe una facts wengine humu hadi aibu yani, unakuta jitu linaongea kwa confidence uongo. Track aliowachana hadi watu wakaogopa inaitwa against all odds, kwenye Makaveli the Don: killuminati. The 7 day theory.
 
Weee koma mpuuzi wewe, Gene Deal hana uhusiano wa damu na Diddy, Lil Cease hana undugu na Biggie, mpaka hapo we ni lofa mmoja tu unaejikuta unataka kujua kisa vi documentary, nimeviangalia vingi sana. Unaropokaropoka tu, eti mamake Biggie aliondoka na Suge, lini? Kwenda wapi? Chizi kweli wewe. Voletta yupo zake New York, Suge yupo Cali. Hujui ata umbali na tofauti yake. Eti walionekana wanaondoka wote, mtu kafungwa anapelekwa na a ton of security guard au unadhani ni bongo hiyo, alafu story za udaku za vijiweni kakae na watoto wenzio uwadanganye.
Oyaaa mbona umekasirika?
 
Yaki Kadafi ambae alimuonaa muuajii ALIPOANZA KUSEMA ATAMTAJA MUUAJI nae akala Chuma
Aliemuua Gaddafi ni binamu yake na Napoleon na ulikua ugomvi wa kamari ila baadae alijisalimisha polisi.Gaddafi alienda New Orleans kwenye familia ya akina Napoleon mitaa ya pale kwenye maghorofa ya project fam kama sikosei.
 
Hit em up ukiisikiliza hadi wewe msikilizaji unahisi kutukanwa[emoji1][emoji1]

umesema kweli mkuu. hit em up katukana wote wanaosupport na kusikiliza nyimbo za bad boy hata me nikiwemo maana navoikubali juicy ya big small basi ndo natukanwa daily. Hit em up naikubali basi nakula matusi daily.
 
Tupac alikuwa na hasira baada ya kutokea ugomvi baina yake na BIG kuhusu utunzi wa wimbo fulani, alikwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kujisifu kuwa amelala na Faith Evans mke wa BIG.

BIG akaona isiwe shida ammalize tu. Kundi la Tupac likaamua nalo lilipize kisasi na vijana wawili wadogo wakaondoka kiurahisi sana.

Faith Evans akatoa wimbo mmoja mkali sana wa kumkumbuka BIG chini ya uongozi wa P Didy....
Hii ndio story ninayoikumbuka mambo ya East coast versus West coast.

BTW Diddy alitajwa sana kuhusika pia.
 
Kuna ka kipande umekaacha, baada ya Pac kupigwa risasi inasemekana akuzimia km ulivyosema alipigwa tu still aliweza kujivuta mpk kufika juu akawakuta wana bahati mbaya baada ya kumpa pole wakaanza kumcheka. Jamaa akaclaim kuwa wao ndo waliplan yeye kupigwa risasi jambo ambalo halikuwa kweli kwan kwa kipindi hiko Pac alikuwaa ashajiunga na kundi fulani la kimafia wale walikuwaa wanarun show km ilivyokuwaa Clouds ya enzi hizo ukiwazingua unapoteaaa.

Kitendo cha kumcheka then Pac aki claim kuwa wana wamemfanyizia basi wana (Biggie na Diddy) wakaingia studio wakatoa ngoma ya "Who Shot Ya" wakimlenga mwamba mule ndani wakanyaaaa mbovuuuuu ukisikiaa ile ngoma hasii ile Studio Version wana wamemdhihakiii mnooo mwamba. Kumbuka PaC nae nyakatii hizoo ndo yuko na lile kundi lake la OUTLAWZ (YAKI KADAFF, E.D.I MEAN, KASTRO, HUSSEIN FATAL, NAPOLEON, MAKAVELI) wakazama studio wakatoaaa "All time Diss trak" "HIT EM UP" mule ndani Pac Amekunya mbovu mpk akamwambia unajiona mwamba ila " You claim to be Player but i Fucked you Wife" ahahaha Yaan JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala and Motherfucker kwenye wimbo mmoja tu zimetajwaa mara 35. Huu wimbo ndo ulikolezaaaaaaa bifuuu maana hakuna jiwe liliachwa Juu ya Jiwe Pac alimchana kilaaa mtuu wengine mpaka personal Life za watu...
Kama Lil Kim
Dropp Mobb huyu aliambiwaa ww una sickle cell
Lil Kim aliguswa coz na yeye alikuwa Junior Mafia under Big na
Mobb deep under Bad Boys.
So if you wanna be down with Bad Boys Fvck you too
All mutherfvcker. F"* you too
 
Mobb Deep hawajawahi kuwa chini ya lebo ya Bad Boy. Tupac alikuwa na bifu nao wao kama Mobb Deep.
Mdogo wangu usiwe unapenda kujibu kitu Kwa mihemko.
Unawajua Mobb deep in details? Unajua history Yao since kukutana,unajua jina lao kabla ya Mobb deep.
Yaaniutokee NY na uhit bila chochote ku share BB
Em shuka na hii halafu next time sio Kila kitu Cha kujibu beefinjector

However, they were featured in Matty C's July 1991 "Unsigned Hype" column in The Source,[14][17] which helped promote their demo Flavor for the Nonbelievers. The Source dubbed Poetical Prophets a "dynamic duo ... that are fast making a big name for themselves in talent shows and radio stations in the New York area."[17] The following year, the duo changed their name from Poetical Prophets to "Mobb Deep," in part based on the suggestion of Puff Daddy who was courting them to be the first artists on his newly created imprint, Bad Boy Records.[15][18] In choosing the moniker, Prodigy noted that "we need[ed] something that described how we were living. When [we] got together to hang out, there would be thirty to forty of us, like a mob. The slang we used when we saw a whole bunch of guys together was . . . 'deep.' Both words together sounded good. Mobb Deep."[19]
 
Kwanza mi sio mdogo wako. Nina uhakika kama sio Kaka yako basi ni Baba yako mdogo. Mobb Deep nawafahamu vizuri sana. HAWAJAWAHI KUWA CHINI YA BAD BOYS. Hebu soma vizuri hiyo article uliyopost mwenyewe halafu uniambie wapi wamesema kuwa Mobb Deep walisaini Bad Boys.
 
Kwa hyo BB walikuwepo km wakina nani au ukaribu wao na Diddy ulikuwa ni wa nn au ulitokana na nn
 
Back
Top Bottom