beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Kwa mara nyingine unapotosha. Dre hakutakiwa kuwa shahidi kwenye kesi ya Snoop. Angetakiwa lazima angefika vinginevyo angefungwa kwa kosa la kutoitii mahakama (contempt of court). Alitegemewa kufika ili kumpa Snoop support kwa kuwa alikuwa mshikaji wake na ndio maana Tupac akamaindi.Pac hakupenda ujinga na unafiki ndo maana hata Dre aliposhindwa kufika mahakamani katika case ya Snoop Dog kama shahidi kwa upande wa utetezi Pac alimchana na kupelekea Dre kuachana na label deathrow record.
Katika baadhi ya nyimbo Pac alim diss Dre, ila Dree aliogopa kujibu
[emoji445]What's up in 96? Fine tricks in drag, f.u..ck Dre, tell that b..i..tch he can kiss my a.ss[emoji445] 2Pac - Let's be friends
Pia Dre hakuondoka Deathrow kwa sababu ulizotoa. Dre hakutaka kufanya kazi kwenye mazingira ya kitaa (gang banging environment) ambayo Suge aliyaendekeza kwenye lebo Deathrow. Dre hajawahi kuwa mtu wa kitaa na huwa anahitaji utulivu kwenye kazi zake. Uvumilivu ulimshinda baada ya rafiki zake kupigwa vibaya na Suge na goons wake baada ya kukutwa wakitumia simu ambayo ilikuwa maalum kwa ajili ya kuwasiliana na sponsor wa Deathrow Michael Harris aka Harry O ambaye alikuwa jela kipindi hicho. Akaamua kusepa.