Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Ngoja kaka yenu niwasaidie sitaongea mengi labda mniulize niwasaidie

Aliyemuua B.I.G ni Amir Mohamad (Nationa of Islam)
Akishishirikiana na David Mack (LAPD)
NA Perez (LAPD)

David Mack na Perez walikua wanafanya kazi pia ya sidehustle Kwa V.I.P wa DeathRow

Ila walikua LAPD

Maswali yawe ya maana Angalau...

Usiniulize nani kawatuma...unganisha dots
 
Kwanza mi sio mdogo wako. Nina uhakika kama sio Kaka yako basi ni Baba yako mdogo. Mobb Deep nawafahamu vizuri sana. HAWAJAWAHI KUWA CHINI YA BAD BOYS. Hebu soma vizuri hiyo article uliyopost mwenyewe halafu uniambie wapi wamesema kuwa Mobb Deep walisaini Bad Boys.
Havoc Na Prodigy hawakua kweli na BadBoys ila iko hv, Puff Daddy alivyofukuzwa kazi nadhani Interscope alitaka awasaini kama wasanii wake wa kwanza...ila wakashindwana Maslahi...wakaenda label nyingine...!

Kama una swali niulize
 
Kwa hyo BB walikuwepo km wakina nani au ukaribu wao na Diddy ulikuwa ni wa nn au ulitokana na nn
Kwa mujibu wa article yako nanukuu "Diddy courted Mobb Deep". Tafsiri isiyo rasmi maana yake ni kwamba Diddy alikuwa anawafukuzia Mobb Deep ili awasaini. Inaonekana walishindwa kukubaliana. Mobb Deep wakaishia kusaini na Island kisha baadaye wakahamia Loud Records ya Steve Rifkind ambako ndiko walikopata mafanikio.
 
Havoc Na Prodigy hawakua kweli na BadBoys ila iko hv, Puff Daddy alivyofukuzwa kazi nadhani Interscope alitaka awasaini kama wasanii wake wa kwanza...ila wakashindwana Maslahi...wakaenda label nyingine...!

Kama una swali niulize
Uko sawa. Nikusahishe kidogo tu, Puffy alifukuzwa kazi kutoka Uptown Records na sio Interscope.
 
Ni vile tu TUPAC na BIG walikuwa watu maarufu sana lkn kimsingi Watu Weusi USA kuuana kwa kutumia Chuma ni sehemu ya Utamaduni wao!

Zipo theory zingine zinamtaja Snoopy km mtu alietia mkono wk ktk mauaji ya Pac. Binafsi nilimuona Pac akiwa kitandani Hospital, niliamini Mwamba hatoboi
Hata hii theory yako ni nzuri
 
Uvumi ni mwingi lakini mpaka recently imeshathibitishwa aliyemuua 2pac ni Orlando Anderson,yule jamaa aliyepigwa na 2pac mapema siku ile kwenye pambano la Tyson na Bruce Seldon.

Na alikuwa mtu wake wa karibu.BIG alikufa sababu wapambe wa 2pac waliamini ye ndo alimuua.Kimsingi theories zipo nyingi Kuna hadi wanaoamini waliuawa na serikali ya marekani sababu ya bad influence Kwa vijana na makundi Yao ya east side na west side.

Na Kuna wengine wanaoamini pia hakufa sababu hawakuona mazishi yake.
Kwenye mahijiano na vladtv keefe D anaulizwa vipi kuhusu ile kauli ya Tyson aliposema anahitaji dk 5 kwenye chumba na muuaji wa Pac Keffe akasema yeye anahitaji 2 tu huku akiwiggle kidole chake kama ishara ya kupull trigger na hiyo ni kama aliconfirm (indirectly kuwa yeye alihusika na tukio lile) huku akimalizia kusema "sasa hv kila mtu anajifanya muuaji, Tyson wewe ni boxer usijifanye kile ambacho wewe sio!"

Keefe D alikuwa ni member wa Southside Compton Crips ambaye alijipatia mkwnja mrefu kupitia michezo ya kusukuma kete. Huyu ndio mjomba wa Orlando 'Baby Lane' Anderson na siku ile walikuwepo Las Vegas ambapo Baby Lane alishambuliwa na Tupac na genge lake kwenye hotel ya MGM. Inasemekana siku chache zilizopita mmoja wa member wa death row alishambuliwa na Baby lane akanyang'anywa chain (zile cheni za death row) sasa siku hiyo Las vegas akaonekana ikabidi wahuni wa Deathrow wakachukue chao wakiongozwa na pac. Wakampiga Orlando wakamnyang'anya chain yao wakasepa. Orlando na yeye akaenda kusema kwa mjomba wake kuwa wahuni wa death row wamemjump. Ndio msako sasa ukaanza

Keefe D alikiri kuwa alikuwepo kwenye ile white Cadillac ambayo ndio iliyopaki pembeni ya bimmer ya Pac na Suge na inaaminika risasi zilitoka lwenye hiyo gari lkn alipoulizwa nani alishoot akasema hakuona maana yeye alikaa mbele siti ya pembeni ya dereva. Inasemekana Orlando ndio alipull trigger ijapokuwa wengine wanasema ni Keefe mwenyewe. Keefe pia anasema kulikuwa na bounty ya dollar 1m kutoka Badboys kwa atakayemmaliza pac.
 
Msaani maarufu wa Marekani na producer wa label ya Bad Boy record, anaejulikana kwa jina maarufu la P diddy, sasa tumbo joto baada ya mama yake na Christopher Wallace almaarufu Notorious B.I.G kumuhusisha msaani huyo na kifo cha mwanae kilichotokea mwaka 1997 huko Los Angeles, CA.

Inasemekana kwamba mama huyo amefanya uchunguzi wa kutosha na kujiridhisha kuwa huenda manager huyo wa Bad Boy record amehusika pakubwa na kifo cha mwanae, hivyo anapanga kufungua kesi ili ukweli ujulikane na kila aliehusika na kifo cha mwanae aweze kuchukiwa hatua za kisheria kutokana na mauaji hayo.

Ngoja tusubiri kitachotokea, maana kwa R Kelly ilianza hivi hivi kimzaa mzaa matokeo yake mpaka leo bado mfalme huyo wa R&B ananyea debe.
Halafu inasemekana pia anapenda machoko zaidi na sio pisi Kali
 
Kwenye mahijiano na vladtv keefe D anaulizwa vipi kuhusu ile kauli ya Tyson aliposema anahitaji dk 5 kwenye chumba na muuaji wa Pac Keffe akasema yeye anahitaji 2 tu huku akiwiggle kidole chake kama ishara ya kupull trigger na hiyo ni kama aliconfirm (indirectly kuwa yeye alihusika na tukio lile) huku akimalizia kusema "sasa hv kila mtu anajifanya muuaji, Tyson wewe ni boxer usijifanye kile ambacho wewe sio!"

Keefe D alikuwa ni member wa Southside Compton Crips ambaye alijipatia mkwnja mrefu kupitia michezo ya kusukuma kete. Huyu ndio mjomba wa Orlando 'Baby Lane' Anderson na siku ile walikuwepo Las Vegas ambapo Baby Lane alishambuliwa na Tupac na genge lake kwenye hotel ya MGM. Inasemekana siku chache zilizopita mmoja wa member wa death row alishambuliwa na Baby lane akanyang'anywa chain (zile cheni za death row) sasa siku hiyo Las vegas akaonekana ikabidi wahuni wa Deathrow wakachukue chao wakiongozwa na pac. Wakampiga Orlando wakamnyang'anya chain yao wakasepa. Orlando na yeye akaenda kusema kwa mjomba wake kuwa wahuni wa death row wamemjump. Ndio msako sasa ukaanza

Keefe D alikiri kuwa alikuwepo kwenye ile white Cadillac ambayo ndio iliyopaki pembeni ya bimmer ya Pac na Suge na inaaminika risasi zilitoka lwenye hiyo gari lkn alipoulizwa nani alishoot akasema hakuona maana yeye alikaa mbele siti ya pembeni ya dereva. Inasemekana Orlando ndio alipull trigger ijapokuwa wengine wanasema ni Keefe mwenyewe. Keefe pia anasema kulikuwa na bounty ya dollar 1m kutoka Badboys kwa atakayemmaliza pac.
Tafuta documentary inaitwa Murder Rap. Keefe D anakiri wazi kwamba nephew wake Orlando ndiye alikuwa shooter.
 
Vifo vyao vilipangwa ndomana vilifanana.
2pac gari yao ilipofika kwenye traffic light mataa ya kuruhusu upande wao kwenda yakafunga hivyo ikawalazimu kusimama. Ghafla wakatokea mabinti pembeni ya barabara wakaanza kuita 2pac.. 2pac.. 2pac... basi 2pac ile kushusha kioo awapungie mkono hapo hapo akaanza kushambuliwa na gari ya majamaa waliokuwa ubavuni kwao.

Big nae gari yao ilipofika kwenye traffic light mataa ya kuruhusu upande wao kwenda yakafunga hivyo ikawalazimu kusimama. Ghafla pia wakatokea mabinti pembeni ya barabara wakaanza kuita Big.. Big.. Big.. basi ile Big kushusha kioo awapungie mkono hapo hapo na yeye akaanza kushambuliwa na gari iliyokuwa pembeni yao hadi kusababisha umauti wake.
Hawa jamaa waliuliwa kwa mipango ya Suge Knight.Karma ilimlipa kwa kusababisha kifo akiwa ana driven akafungwa hadi Leo.
 
Kwa upande wangu naona wazee wa suti nyeusi walifanya yao baada ya kina 2pac na Big kusababisha vijana wa kiamerika hasa weusi kuwa na mienendo isiyofaa na kuuana ovyo. Haiwezekani kitu kidogo tu watu wanatwangana risasi kipuuzi. Vijana wangezidi kuharibika. Kwamba Didy ndo alihusika na mauaji ya BIG ni ngumu kuamini kwasababu BIG alikuwa ni kama ng'ombe wa maziwa kwa Didy kwa maana ya kwamba kupitia BIG huyo Didy alikuwa anapiga hela kwa kumsimamia chini ya label ya BadBoys. Jinsi Didy alivyo mpenda pesa isingekuwa rahisi kumuua mtu ambaye anamtengenezea pesa ndefu. Labda tumsikilize mpwayungu village anaweza kuwa na maoni tofauti.
Big aligundua kwamba Diddy alikuwa anamnyonya sana, kwahiyo alikuwa amepanga akimaliza mkataba wao anaachana nae kitu ambacho Diddy hakupendezewa nacho na pengine kuamua kufanya kile anachohisi mama yake na Big.

Baada ya kifo cha Big Diddy umaarufu wake uliongezeka maradufu na pesa ikawa nyingi kutokana na kuuza nyimbo nyingi za Big ambazo bado zilikuwa studio kwake.

Pia akawahi fasta fasta kutoa ule wimbo wa 'I'll be missing you" akiwa amememshirikisha Faith Evans (ex wa Big) Nyimbo ile moja tu peke yake ilimpa pesa nyingi ambayo kama Big asingefariki basi angekaa zaidi ya miaka 5 bila kuishika.

So kifo cha Big kimemnufaisha zaidi Puff kuliko kilivyoinufaisha familia yake Big.
 
Kuna ka kipande umekaacha, baada ya Pac kupigwa risasi inasemekana akuzimia km ulivyosema alipigwa tu still aliweza kujivuta mpk kufika juu akawakuta wana bahati mbaya baada ya kumpa pole wakaanza kumcheka. Jamaa akaclaim kuwa wao ndo waliplan yeye kupigwa risasi jambo ambalo halikuwa kweli kwan kwa kipindi hiko Pac alikuwaa ashajiunga na kundi fulani la kimafia wale walikuwaa wanarun show km ilivyokuwaa Clouds ya enzi hizo ukiwazingua unapoteaaa.

Kitendo cha kumcheka then Pac aki claim kuwa wana wamemfanyizia basi wana (Biggie na Diddy) wakaingia studio wakatoa ngoma ya "Who Shot Ya" wakimlenga mwamba mule ndani wakanyaaaa mbovuuuuu ukisikiaa ile ngoma hasii ile Studio Version wana wamemdhihakiii mnooo mwamba. Kumbuka PaC nae nyakatii hizoo ndo yuko na lile kundi lake la OUTLAWZ (YAKI KADAFF, E.D.I MEAN, KASTRO, HUSSEIN FATAL, NAPOLEON, MAKAVELI) wakazama studio wakatoaaa "All time Diss trak" "HIT EM UP" mule ndani Pac Amekunya mbovu mpk akamwambia unajiona mwamba ila " You claim to be Player but i Fucked you Wife" ahahaha Yaan JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala and Motherfucker kwenye wimbo mmoja tu zimetajwaa mara 35. Huu wimbo ndo ulikolezaaaaaaa bifuuu maana hakuna jiwe liliachwa Juu ya Jiwe Pac alimchana kilaaa mtuu wengine mpaka personal Life za watu...
Kama Lil Kim
Dropp Mobb huyu aliambiwaa ww una sickle cell
Pac hakupenda ujinga na unafiki ndo maana hata Dre aliposhindwa kufika mahakamani katika case ya Snoop Dog kama shahidi kwa upande wa utetezi Pac alimchana na kupelekea Dre kuachana na label deathrow record.

Katika baadhi ya nyimbo Pac alim diss Dre, ila Dree aliogopa kujibu

🎶What's up in 96? Fine tricks in drag, f.u..ck Dre, tell that b..i..tch he can kiss my a.ss🎶 2Pac - Let's be friends
 
Tafuta documentary inaitwa Murder Rap. Keefe D anakiri wazi kwamba nephew wake Orlando ndiye alikuwa shooter.
Hii ya kukiri au kusema kwamba fulan ndio alikuwa shooter baada ya mtu huyo kufariki wala haileti maana.

Ukishafariki lolote unaweza kupakaziwa iwe kwa kusifiwa au kupondwa.

Kwahiyo asimuamini kwa asilimia 100 alichokiongea.
 
Hawa jamaa waliuliwa kwa mipango ya Suge Knight.Karma ilimlipa kwa kusababisha kifo akiwa ana driven akafungwa hadi Leo.
2pac alishambuliwa huku akiwa na Suge ndani ya gari tena wote wakiwa viti vya mbele.

Sidhani kama Suge angeweza kuwa mjinga kuweka maisha yake hatarini kiasi hicho na ukizingatia mshambuliaji alikuwa anaagiza tu risasi kama mvua bila kujali ni nani na nani atakaepatwa na zile risasi ndani ya gari.

Kumbuka risasi haina macho kwahiyo pengine ingeweza kumpita Pac ikaenda kumpitua Suge kichwani. Sasa hapo angekuwa amefanya mission ya aina gani ambayo ingemuuwa mwenyewe?

Tutumie akili kutafakari kabla ya kuandika jambo.
 
Back
Top Bottom