P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

Mbona kuna clip huyo Diamond anakiri mwenyewe alikwenda kwa Diddy, walifanya mambo mengi ila hawezi kuya post. Mwambie kwanza ayapost ndiyo uje utulaumu
 
Jidanganye nimeishi Finland miezi mitatu ukimwi upo na wazungu wengi kule wana magovi
Hapo kwenye magovi ndo huwa nachoka.... Kwanini hawataki kutahiliwa hawa majamaaa. Imagine bongo uende na dem then utoe mashine ina govi. Hivi atakupa mzigo? Na akikupa atarudia tena? Vipi matangazo mtaani? Na mkikosana nae je matusi ya hapo. Mmmhhhh ngumu kumeza
 
Dunia nzima waliotahiriwa ni 1/3 tu. Haya mambo mnayakuza tu wala hayana nafasi kwenye tendo la kujamiiana.
 
Mbona kuna clip huyo Diamond anakiri mwenyewe alikwenda kwa Diddy, walifanya mambo mengi ila hawezi kuya post. Mwambie kwanza ayapost ndiyo uje utulaumu
Kwahiyo aliposema mambo mengi mengine hawezi kuyataja ndiyo muhitimishe kwamba jamaa alivuliwa Ubingwa? 😅🙌

Labda hayo mambo mengine ilikuwa mambo ya biashara na Uwekezaji, so hakutaka kuyaweka wazi kwasababu ya kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…