Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Walioshupalia jambo la Kelly ni waafrika kuliko hata wazungu!Mbaya zaidi hayo mambo mweusi inaonekana yanafanyika Kwa Waafrika tu, na sio Wazungu
Imagine hali anayopitia R.Kelly kule gerezani.
Yaani wameamua kuharibu carrier yake kabisa ya Muziki na biashara 🙌