P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

Jambo moja ambalo hujalitaja jamaa akiwabandua wenzake lazima awarecord, na hizo video zinatumika kuwa blackmail hao mastaa wafuate matakwa ya Wakubwa.

Inshort ambao wapo nyuma ya Pdidy ni wakubwa wasiogusika.
 
Mhanga mkubwa atakua ni Usher Raymond ambae alikua mdogo almost 13 years alivyokutana na Diddy ... jamaa kasoma shule za Boys za kiseminary (Code) ? anyway Ukipata hela shida...ukikosa hela shida..sasa kwa hela za Didy kuna manzi alikua anaweza kumkataa ? Yeye ilikua nikupangilia maneno na vitendo tu, akitokea exceptional one akakataa si una move on to the next target... ona sasa anaenda kuliwa kiboga jela kama Mwenzake R.Kelly
 
Kabisa yule jamaa kapitia life flan nyuma inaonekana la kihuni sana, japo muonekano ndo huez muhis kabisa
Mtoto wa Harlem New York huyo , mitaa ya wahuni wa mjini pale US
Yaani ni kama kibongo Bongo uzaliwe keko na mitaa ya wahuni kama hiyo
 
Si busara kuitikia mwito wa baadhi ya watu ambao huwajui vizuri.Unaingia kwenye jumba ambalo milango inajifunga na kujifungua kwa rimoti na kuna vichochoro mpaka kwenye vyumba vya kufanya ushenzi.Unakwenda tu bila kutaka na unashindwa kutoka.
 
Huu upuuzi uliouandika hapa ama kwa kujifurahisha au kwa chuki juu ya vijana wenzio waliokuzidi maisha utakuja kukucost kwenye maisha yako aidha kwa kujua au kwa kutokujua.... chunga sana
Vipi uliwakilisha wenzako kutoka Tanzania Tanzania kwenye msiba wa Brian Chira?
 
Mbona nasikiaga eti hata baadhi ya wasanii wa kiume Bongo wamewahi kutafunwa na madon wa kiarabu (hasa yule Babu wa Mombasa) ili wapate hela !
Hata huyu msanii naniliu nasikia yeye na rafiki yake wa zamani waliwahi kukung'utwa Sana tu ila yeye alivyopata hela akaacha
 
Wanaachaga kwani? Si nasikia kunaota funza, kunawasha kunataka kukung'utwa Kila siku
 
Si busara kuitikia mwito wa baadhi ya watu ambao huwajui vizuri.Unaingia kwenye jumba ambalo milango inajifunga na kujifungua kwa rimoti na kuna vichochoro mpaka kwenye vyumba vya kufanya ushenzi.Unakwenda tu bila kutaka na unashindwa kutoka.
Utachapwa tu lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…