unga bora wa azamu
Baba yako
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nipo simiyu mkuu
Hivi huyo Ngwea alinyonywaje na Clouds wajameni, mbona mnahubiri sana ujamaa ulioshindwa kwenye karine ya 21 ya sayansi na teknolojia yenye soko huria?
Kuna zaidi ya redio 20 nchi, kama clouds hawapigi nyimbo zako inamaa ndio mwisho wa usanii?
Hivi ni wangapi humu tunatumikishwa na waajiri kwa vimishara duni..... huu ndio mfumo wa dunia yetu jamani hatuwezi kukaa tunalialia kama unaona mahali hapalipi unasepa.
na kwenye biashara hakuna rafiki wala adui wa kudumu mkae mkijua hilo, FIESTA ni tukio kwa mwaka maramoja wasanii zaidi ya 200 wa kibongo hivi mlitaka walipwe sh ngapi?
Kwnye biashara hakuna adui wala rafiki wa kudumu...........take it au muulize Mr Sugumkuu naona umekurupuka mangwea aligomea shoo ya fiesta kutokana na malipo kidogo tango hapo clouds wakawa hawapigi nyimbo za mangwea, tangu amefariki jana clouds wamekuwa wakipiga nyimbo zake na kumsifia sasa huu tunauitaje zaidi ya unafiki
Chanzo cha kifochake ninini?
Mh!sasa clouds kuna haja ya kujipanga upya maana mashambulizi yanazid kwao inamaanisha kuna jambo liko ndan ya clouds.
Kwnye biashara hakuna adui wala rafiki wa kudumu...........take it au muulize Mr Sugu
Sasa kama kuongea hakubadilishi kitu kuna maana gani...?...mbona unarukaruka hujibu hoja nyie ndo huwa nnakandamizwa mnashindwa kuongea
Mkuu, kuna watu kwa vile JD kalalama, basi nao wanaona wanatakiwa kulalama... WAENDE REDIO UHURU BASII.......... JD katoa nyimbo ngapi na zikapigwa CLOUDS ije iwe hii ya JOTO HASIRA.... baniani mbaya, kiatu chake dawa, haya ona sasa wanavyohaika kwa kukorofishana na cloudswaulize hao wote wanaolalamika wanalazimishwa kwenda clouds media?mbona kuna media mbalimbali kwa nini wakiona wananyonywa wasisepe?ni wivu wa kike tu unawasumbua.we fanya kautafiti huko maofisini kuhusu malipo wanayopokea hao wafanyakazi na waulize ni wangapi wanaridhika nayo.wengi watalalamika hawaridhiki lakini kusepa hawasepi wapo tu!tunalalamika tu lakini hatuna uthubutu wa kujaribu maisha kwingine!!!unafiki/cowadz
yetu macho.....wataanza kuturushia ibada live nakwambia
kifo chake kinahusishwa na Cloudz, ngoja niendelee kufuatilia.
ungeanza kuwauliza mateja wa kinondoni, kwa nini wanabwia unga..aliyekataa ni pro ludigo na kisheria hakimiliki inaruhusu kufanya hivyo. hyo message p katumiwa na ludigo naye akaiforward kwa choka.. alafu watanzania tusiwe wepesi kuhukumu. kabla ya kusea alikuwa mla unga nani anaweza kutuambia kwanini jamaa aliamua kubwia kwa kiasi hicho???