ungeanza kuwauliza mateja wa kinondoni, kwa nini wanabwia unga..
Kwa jinsi wanavyolalama mitaani kuhusu CLOUDS, utadhani ni redio pekee TZjibu rahisi,wanabwia kwa sababu ya stresi za clouds fm.naendelea kuuliza,hivi hao wasanii wanashikiwa bunduki kupeleka kazi zao clouds media au wanapeleka wao?kama clouds media hailipi vizuri peleka ipp si ni biashara huria?eti wataanza kuonyesha ibada as if ibada ni haramu au kitu cha ovyo kabisa kuonyesha!!!!kwa taarifa yao nyimbo sio bongo fleva tu za hao mateja wenu.
JF bana! Nimecheka kwa sauti baada ya kusoma comment hii mbele ya watu 4 waliokuwa serious!kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
mbona huwa hawapigi nyimbo za kunda mbandaJF bana! Nimecheka kwa sauti baada ya kusoma comment hii mbele ya watu 4 waliokuwa serious!
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
Kamuulize kabulini...Baba yangu keshakufa, sasa ataipataje hiyo faida?
Yaani siku wasanii wakiacha njaa za kisen** muda siyo mreefu wataanza kula matunda yao na redio za wapuuzi kama hii redio ya wafu...kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
jibu rahisi,wanabwia kwa sababu ya stresi za clouds fm.naendelea kuuliza,hivi hao wasanii wanashikiwa bunduki kupeleka kazi zao clouds media au wanapeleka wao?kama clouds media hailipi vizuri peleka ipp si ni biashara huria?eti wataanza kuonyesha ibada as if ibada ni haramu au kitu cha ovyo kabisa kuonyesha!!!!kwa taarifa yao nyimbo sio bongo fleva tu za hao mateja wenu.
Si ndiyo maana wamekataa isipigwe nyimbo ya cow boy, wewe vipi chizi nini?Kwa jinsi wanavyolalama mitaani kuhusu CLOUDS, utadhani ni redio pekee TZ
Bifu la kina masanja angalau ni tofauti kabisa na hizi bifu za redio ya wafu si dhani kama ni haki kulitolea mfano...Ndugu yangu unyonyaji ndo sifa za ubepari(ndio maana zamani tulikua tunasema kua ubeberu ni uyama) hata huko IPP mambo ni mabaya zaidi, waulize akina masanja mkandamizaji watakuambia yaliyowakuta. Hawa wamiliki wa vyombo vya habari mambo yakiwa magumu wanajifanya kua wako kwa niaba ya wananchi wakati ni wanyonyaji wakubwa kwa vijana wetu.
Bifu la kina masanja angalau ni tofauti kabisa na hizi bifu za redio ya wafu si dhani kama ni haki kulitolea mfano...
Poa nitamuuliza...Kamuulize kabulini...
Labda...Si ndiyo maana wamekataa isipigwe nyimbo ya cow boy, wewe vipi chizi nini?
kimara hiyoookuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
kikazi..?nipo simiyu mkuu
Kwa faida ya nani?
siku nyingi mkuuUmeanza kusali lini parokia ya mavurunza-Suka
Mwenye nyimbo alipokuwa hai hakuwahi kupiga marufuku nyimbo zake kupigwa kwenye stesheni sasa Majani na mibangi yake ni nani hadi kujifanya eti kupiga marufuku nyimbo,au kuwa producer ishakuwa taabu si aliamua kuwa mvuvi na basi aendelee kuvua hao ''vyangudoa''hapa watu ndio watatumia nafasi hii kuonyeshana umwamba na kulipizana visasi.mbona mangwair mwenyewe wakati yupo hai hajawahi kupiga marufuku nyimbo zake kuchezwa clouds media?au yeye ndo hakuwa na uchungu na kazi zake......ni unafiki tu na kujitafutia umaarufu.bongo siku hizi hata misiba inatumika kisiasa!!!!