waulize hao wote wanaolalamika wanalazimishwa kwenda clouds media?mbona kuna media mbalimbali kwa nini wakiona wananyonywa wasisepe?ni wivu wa kike tu unawasumbua.we fanya kautafiti huko maofisini kuhusu malipo wanayopokea hao wafanyakazi na waulize ni wangapi wanaridhika nayo.wengi watalalamika hawaridhiki lakini kusepa hawasepi wapo tu!tunalalamika tu lakini hatuna uthubutu wa kujaribu maisha kwingine!!!unafiki/cowadz
Unamaanisha bati la kuezekea nyumba au ni kitita cha pesa?ni kweli clouds hawapaswi kupiga nyimbo zake sababu wanahusika katika kumdidimiza baada ya ngwear kuwa anakataa show za fiesta kutokana na kupewa hela kidogo. mwenyewe alisema clouds wanampa bati akalifanyie nini? halafu alikua anamuunga mkono jide na amekufa akiwa njiani kuja kwenye show ya jide. Clouds walishindwa kumthamini akiwa hai iweje leo. big up majani. mia
Poa, lakini hakuna anaye-debate peke yakeAcha debate wewe!
yaani siku wasanii wakiacha njaa za kisen** muda siyo mreefu wataanza kula matunda yao na redio za wapuuzi kama hii redio ya wafu...
Wakati Ngwea anabaniwa Majani alikuwa wapi na alifanya nini kumsaidia?leo ndio anajifanya ana uchungu sana mbona marhemu alipokwa hai hakuonyesha hayo machungu?Majani naye ni walewale tu
Umetumwa na Ruge?
Mh hakuna kitu kama hicho huo ni wivu tu Clouds hawawanyonyi wasanii,kwani hao wasanii ni mbumbu kiasi gani hadi wanyonywe au hawawi na mikataba,mi naona wasanii wanaisiliba tu Clouds mbona wanapochukuliwa vichochoroni na Clouds hawalalamiki,na hadi wanakuwa ma supastar hatuwasikii kulalamika,mi nahisi wasanii wengi wanashindwa kuendena na viwango vilivyowekwa na Clouds,hao wasanii utakuta wapo na Clouds kwa miaka na miaka je huo ubaya walikuwa hawauoni ?leo hii ndio waanze kupiga kelele,akina Lady JD miaka na miaka walikuwa hapo na hatukusikia hizo porojo wanazozitoa hivi sasa,na pia kwani stesheni ni moja tu hadi eti mtu upate stress?huo ni uvivu wa kufikiri nje ya uwigo,hata matamasha yapo mengi tu na sio lazima yale ya akina Ruge& Co,tuache porojo kula unga hakutokani na stress,kwani hizo stress wanazo wasanii tu,kubwia Azam sembe ni uamuzi binafsi,acheni kila kitu kinachohusu kuporomoka kwa wasanii kuwasingizia Clouds,kifupi starehe na kulewa sifa ndio kunawaponza hawa wasanii wetu na si Kusaga na Ruga,visingizio havisaidii,sasa ishakuwa fasheni kila msanii anayeporomoka au anapata matatizo husingizia Clouds,au ndio mti wenye tunda ,kila mtu anataka kulipopoa?
Huu unaitwa unafiki wamemdidimiza kwa lipi? Nchi ina vituo vya redio zaidi 80
Hivi kama msanii mkali mkali tu, yaani ina maana clouds wakipiga nyimbo ndio mtu atang'aa? Ngwear kaanza kutumia.madawa miaka kibao namfaham vizuri jamaa yule, jamaa sana nlikuwa nakutana nae mitaa ya area c dom au sunrise pale,anakuja na washkaji zake muda wote wanatumia madawa leo eti imekuwa clouds,
Jide anasahau hao hao ndo waliomtoa..me najituma mwenyewe coz bosi wa maisha yangu ni me mwenyewe.situmiki ki.se.nge.bongo hii ss wote wa.se.nge na ndio maana hatuishi kulalamika lakini inapotokea nafasi ya kurekebisha tunacholalamikia ndio utachoka mwenyewe kitakachotokea.mfano mzuri angalia tunavyoilaani ccm sasa lakini ikifika 2015 jiandae kupata ugonjwa wa moyo au ukubali kuishi kama mfu.kanga tu na viremba aka kofia pamoja na mapambio ya komba tushasahau kila kitu.jide alikuwa wapi enzi hizo sugu analalamika?
siku nyingi mkuu
P.funk aka majani ameweka tweet katika wall yake na kukataza au kupiga ban nyimbo zote za mangwair(R.I.P) kupigwa clouds FM
Sababu ya juu juu ambayo naweza kuiwakilisha ni kutokana na bifu...m
Nitaendelea kuleta updates zaid badae
ushaidi huu hapa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Clouds fm mismanagement drove him to drugs releive his stress..
Smile inabidi tutafutane hapo mavurunza maana ndio kanisa langu hilo.(yuda thadei namba 1)
Jide anasahau hao hao ndo waliomtoa..
Mh hakuna kitu kama hicho huo ni wivu tu Clouds hawawanyonyi wasanii,kwani hao wasanii ni mbumbu kiasi gani hadi wanyonywe au hawawi na mikataba,mi naona wasanii wanaisiliba tu Clouds mbona wanapochukuliwa vichochoroni na Clouds hawalalamiki,na hadi wanakuwa ma supastar hatuwasikii kulalamika,mi nahisi wasanii wengi wanashindwa kuendena na viwango vilivyowekwa na Clouds,hao wasanii utakuta wapo na Clouds kwa miaka na miaka je huo ubaya walikuwa hawauoni ?leo hii ndio waanze kupiga kelele,akina Lady JD miaka na miaka walikuwa hapo na hatukusikia hizo porojo wanazozitoa hivi sasa,na pia kwani stesheni ni moja tu hadi eti mtu upate stress?huo ni uvivu wa kufikiri nje ya uwigo,hata matamasha yapo mengi tu na sio lazima yale ya akina Ruge& Co,tuache porojo kula unga hakutokani na stress,kwani hizo stress wanazo wasanii tu,kubwia Azam sembe ni uamuzi binafsi,acheni kila kitu kinachohusu kuporomoka kwa wasanii kuwasingizia Clouds,kifupi starehe na kulewa sifa ndio kunawaponza hawa wasanii wetu na si Kusaga na Ruga,visingizio havisaidii,sasa ishakuwa fasheni kila msanii anayeporomoka au anapata matatizo husingizia Clouds,au ndio mti wenye tunda ,kila mtu anataka kulipopoa?
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
Aliwajibu kwamba, kama kutoana bila kipaji ni ishu, basi wawatoe wake zao, ^^^^ zao na watoto wao wa kike ili wawe nyota kama yeye! Hatuwezi kufumbia macho unyonyaji