Dharau ni ipi hapo, wewe umewala wangapi?Majani hajawahi kuwa bwegge hata siku moja. Huyo Ray amuuulize Josee Chamelion jinsi alifuatwa Uganda Huko huko akazibuliwa mbele ya Mke na Watoto wake. Sioni ajabu Majani akimmwaga Ubongo huyo fedhuli kwa udhalilishaji aliofanya.
Namuuunga Majani mkono kwa hatua zozote maaana dharau zikizidi sana napo siyo poa.
Tusubiri Picha la Majani na huyo Bw.Mdogo Vanny hayo mengine yalishapitaHizi story za vijiweni kaka! Josee Chameleon,hana walinzi hadi Majani amchape makonde?? Tena Majani apande ndege hadi Kampala,akafanye fujo,then arudi bongo tena kupitia hiyo hiyo airport ya Kampala??
Jamani,mambo mengine tusiwe watumwa,hebu tutumie hata IQ zetu ndogo tulizopewa na Mungu kuwaza nakuchakata mambo! Josee Chameleon ni mtu mkubwa sana Uganda na ana sauti kubwa, tofauti kabisa na Majani huku kwetu Tanzania,kama Majani alimpiga Chameleon,nakuhakikishia, Majani asingetoka Uganda!
Wewe kwenye hii kesi tokea ianze ushamwona Majani akijihangaisha kwenda kituoni ?Majani hajawahi kuwa bwegge hata siku moja. Huyo Ray amuuulize Josee Chamelion jinsi alifuatwa Uganda Huko huko akazibuliwa mbele ya Mke na Watoto wake. Sioni ajabu Majani akimmwaga Ubongo huyo fedhuli kwa udhalilishaji aliofanya.
Namuuunga Majani mkono kwa hatua zozote maaana dharau zikizidi sana napo siyo poa.
Wahenga walisema Damu ni nzito kuliko Maji! Achana na hizzo stor za Ayo na Dizzim Majan kama Majan achana naye yule, heri angemla kimia kimia lkn siyo kwa ujinga huo hata ungekuwa weweWewe kwenye hii kesi tokea ianze ushamwona Majani akijihangaisha kwenda kituoni ?
Anaye hangaika na hii kesi Kondeboy na Kajala,Majani hana hata time.Kwani yaliyo tokea leo alisha yaongea mara mbili kipindi akihojiwa na Millard na Dizzim ,mpaka kufikia kuongea kwamba Paula kamshindwa,baadae Mama na mwana wakaanza kumkejeli kwenye mitandao.
Hivi ni nini sababu ya yeye kuifuta hiyo video ??Hizi story za vijiweni kaka! Josee Chameleon,hana walinzi hadi Majani amchape makonde?? Tena Majani apande ndege hadi Kampala,akafanye fujo,then arudi bongo tena kupitia hiyo hiyo airport ya Kampala??
Jamani,mambo mengine tusiwe watumwa,hebu tutumie hata IQ zetu ndogo tulizopewa na Mungu kuwaza nakuchakata mambo! Josee Chameleon ni mtu mkubwa sana Uganda na ana sauti kubwa, tofauti kabisa na Majani huku kwetu Tanzania,kama Majani alimpiga Chameleon,nakuhakikishia, Majani asingetoka Uganda!
Stori zipi wakati video zipo Dizzim kaongea kwa kinywa chake.Wahenga walisema Damu ni nzito kuliko Maji! Achana na hizzo stor za Ayo na Dizzim Majan kama Majan achana naye yule, heri angemla kimia kimia lkn siyo kwa ujinga huo hata ungekuwa wewe
huff huffMajani living up to his name. Way to go, puff puff!
Wewe naye .... kweli....!Stori zipi wakati video zipo Dizzim kaongea kwa kinywa chake.
Nimekuuliza umemuona majani ktk siku hizo walizo enda kituo cha polisi?
Majani ktk mahojiano aliyo yafanya na GBL alimuomba Diamond ampost kwa ajili ya kumpromoti mwanae ktk acc zake za social media,ili kumuongezea umaarufu mwanae ambaye ukiachana na masomo ya sheria anayo chukua anajihusisha na umodo.Hivi ni nini sababu ya yeye kuifuta hiyo video ??
Nakumbuka nyuma kidogo, Diamond naye aliwahi kuweka picha ya mtoto wa Majani kwamba ndiye demu wake mpya. Hadi misukule yake ikiongozwa na kina Aristote, Lokole wakaanza kumpost.
Cha kushangaza sijui Majani aliwapiga biti gani 🤣🤣, wote wakafuta halafu wakawa wapole kama maji ya mtungi huku wakijifanya kama hakijatokea kitu yaani 🤣.
Mwanaye yupi na mbona hajampost yoyote ??Majani ktk mahojiano aliyo yafanya na GBL alimuomba Diamond ampost kwa ajili ya kumpromoti mwanae ktk acc zake za social media,ili kumuongezea umaarufu mwanae ambaye ukiachana na masomo ya sheria anayo chukua anajihusisha na umodo.
So hiyo issue aliiplan yeye mwenyewe Majani.
Wewe naye .... kweli....!
Mwanaume wa Kweli huwa anapeleka Mtu Polisi?
Mwanaume unayejielewa ukichokozwa Unamalizana Kimjini mpaka aliyeingia Kingi aombe Pooo! Yaaani umkosee Kalapina, Majani au Dudubaya au Mim Mmteule utegemee nikupeleke Polisi???? Anyway its over braa kumbe najibizana na kivulana
Mwanae wa UK Patricia alipewa deal na GSM kutangaza jezi ya Yanga ndiye alipostiwa na Diamond na ndiye wanaye mzungumzia kwenye hiyo video iliyopostiwa na Sam Misago.Mwanaye yupi na mbona hajampost yoyote ??
Sasa kwanini picha ilifutwa na haijapostiwa tena !?Mwanae wa UK Patricia alipewa deal na GSM kutangaza jezi ya Yanga ndiye alipostiwa na Diamond na ndiye wanaye mzungumzia kwenye hiyo video iliyopostiwa na Sam Misago.
Mkorofi ni kweli lakini kauli kaitoa mwenyewe alitaka mwanae apostiwe,vipi hii nayo unaikataa?Sasa kwanini picha ilifutwa na haijapostiwa tena !?
Jamani, let's be honest, Majani ni mkorofi na ni fighter asiyekata tamaa. Labda awe kazeeka.
Usiamini maneno anayoongea kwenye media. Majani mambo yake serious anafanya off media.Mkorofi ni kweli lakini kauli kaitoa mwenyewe alitaka mwanae apostiwe,vipi hii nayo unaikataa?
Kufuta sijui makubaliano yao yalikuwa kwa mda gani,ila yeye Majani ndiye aliyeomba mwane kupostiwa.
Miaka 30 itamuhusu. KulawitiNa tuone sasa hiyo video ya pili, mkwara mbuzi mamamaee!!
Usiamini maneno anayoongea kwenye media. Majani mambo yake serious anafanya off media.
Kwani wakati wakati Diamond ameppost picha ya hiyo binti yake mara Ghafla akafuta huku na kina Lokole nao wakafuta, ulimsikia Majani kaongea au kuposti ndio ikafutwa ??
Alivyokuja kuhojiwa baada ya muda ndio akasema, Diamond angedata akashindwa kufanya kazi.
Au wakati yupo kwenye vita na Chameleon baada ya kujua Chameleon amevuta pesa ndefu baada filamu huko Hollywood kutumia ngoma yenye beat lake ( Nikusaidiaje ).
Wewe ulimwona anapost mitandaoni au kuongea kwenye media ??
Maana wengi tulikuja kujua kalipwa 100M na Chameleon baada ya BASATA kusema bungeni.