Nobody But Me
Senior Member
- May 4, 2021
- 160
- 111
[emoji23][emoji23][emoji23]. Bro... Kuna ile ngoma inaitwa Huendi Mbinguni. Nadhani ndo iliyomtoa. Na kwa kiasi fulani ilikuwa na ujumbe mzito. Ila baada ya hapo, zimebaki Comedy tu.kuna majina mengine ya wasanii naishia kuyasoma tu jf, kama huyo whozu hata single yake moja siijui
kuna jamaa pia anaitwa poison nae anabalaa bt nd hvo undergroundMzee umemaliza kila kitu
Cado kwenye freestyle anaweza kukupa vitu vingi, body language yuko vizuri sana.
Kwenye freestyle anaku offer vitu vingi, unaweza ukacheka kwa lines, pia unaweza ukacheka kwa namna anavyo move
Ebu cheki freestyle za kijini alizopiga pale wasafi na namna anavyo switch....aaah msenge anajua sana tuache utani
Ninacho taka nikuona imani inapatika sudani ya kusiniNa hii siwezi kuifanya pasipo nyinyi, nipe shavu nirushe kofi kwa ruksa pasipo mwinyi
Whozu alikua dancer yule jamaa, kaanza na ku dance sana nyimbo za mond, saida karoli[emoji23][emoji23][emoji23]. Bro... Kuna ile ngoma inaitwa Huendi Mbinguni. Nadhani ndo iliyomtoa. Na kwa kiasi fulani ilikuwa na ujumbe mzito. Ila baada ya hapo, zimebaki Comedy tu.
Sikutaka niweke mistari yake nikajua wengi hawana access ya ile album nisha jisahau kuwa mpo wajanjaNi kweli mkuu, yani ngoma ya hisia za moyoni ilini fikirisha sana, nadhani umeisikia pia ngoma ya confession of mad phillosopher inazungumzia mambo ya freedom, hapo lazima ujiulize huyu jamaa kawaza nini? Yani mpaka kutoa verse za namna hii
Sijawahi msikia, nampataje youtube?kuna jamaa pia anaitwa poison nae anabalaa bt nd hvo underground
Confession of a mad phillosopher...Sikutaka niweke mistari yake nikajua wengi hawana access ya ile album nisha jisahau kuwa mpo wajanja
Confession of mad teacher
Kuna vikao vya walaji wenye mitaji mikubwa wasiojali shida wao wanajali gari na nyumba wanaitwa wakwasi.../
hawa wanajali kufuga kipindi wengine hawa hata maji ya kunywa ni ubinafsi.../
Yeah.. Niliona clip flan anadance na mapangaWhozu alikua dancer yule jamaa, kaanza na ku dance sana nyimbo za mond, saida karoli
Sometimes magonjwa huja hata usipozini/..Fun huh? Inabidi utoe mani bruh.../
Sasa ndo alipo anzia huko huyo jamaa et sa hivi msanii kala na tunda.[emoji23]Yeah.. Niliona clip flan anadance na mapanga
Tunda tunda kweli[emoji23]Sasa ndo alipo anzia huko huyo jamaa et sa hivi msanii kala na tunda.[emoji23]
Mtoto anayeenda kwa viboko, au mtenda mema baada ya kutishiwa moto?Confession of a mad phillosopher...
Maana ya uhuru huisha baada ya utambuzi/..
Baada ya kutambua kwamba uhuru si maamuzi/..
Maana kifungo na mipaka vina fanana/..
Kwa aina za michano ya cado..ni haki yake.Ile battle ya CRB alishinda mteganda ila cado ana recod ya kutwaa kombe mara 9
Hahahaha kala tunda loteTunda tunda kweli[emoji23]
Kuutaka uhuru sana si dalili njema, kama upo hai na unajihisi upo huru fikiri tena/..Mtoto anayeenda kwa viboko, au mtenda mema baada ya kutishiwa moto?
Kitu kingine ambacho binafsi naona kinafanya nimuone cado special ni kujikubali bila ku fakeAlafu ukimwona mtaani wala hauwezi mdhania unaeza mchukulia kama mshamba fulani hiv.
Sijui kwann watu weny uwezo mkubwa wa kufanya mambo kwa ukubwa huwa wanakuwa wa kawaida ukiwatazama hawanaga mbwembwe.
Ila ukitaka kuwajua uwakute sehemu zao.
Ile huwendi mbinguni kumbe ndio huyo whozu?[emoji23][emoji23][emoji23]. Bro... Kuna ile ngoma inaitwa Huendi Mbinguni. Nadhani ndo iliyomtoa. Na kwa kiasi fulani ilikuwa na ujumbe mzito. Ila baada ya hapo, zimebaki Comedy tu.