Nobody But Me
Senior Member
- May 4, 2021
- 160
- 111
[emoji23][emoji23][emoji23]. Bro... Kuna ile ngoma inaitwa Huendi Mbinguni. Nadhani ndo iliyomtoa. Na kwa kiasi fulani ilikuwa na ujumbe mzito. Ila baada ya hapo, zimebaki Comedy tu.kuna majina mengine ya wasanii naishia kuyasoma tu jf, kama huyo whozu hata single yake moja siijui