P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

kuna majina mengine ya wasanii naishia kuyasoma tu jf, kama huyo whozu hata single yake moja siijui
[emoji23][emoji23][emoji23]. Bro... Kuna ile ngoma inaitwa Huendi Mbinguni. Nadhani ndo iliyomtoa. Na kwa kiasi fulani ilikuwa na ujumbe mzito. Ila baada ya hapo, zimebaki Comedy tu.
 
Mzee umemaliza kila kitu

Cado kwenye freestyle anaweza kukupa vitu vingi, body language yuko vizuri sana.

Kwenye freestyle anaku offer vitu vingi, unaweza ukacheka kwa lines, pia unaweza ukacheka kwa namna anavyo move

Ebu cheki freestyle za kijini alizopiga pale wasafi na namna anavyo switch....aaah msenge anajua sana tuache utani
kuna jamaa pia anaitwa poison nae anabalaa bt nd hvo underground
 
Ni kweli mkuu, yani ngoma ya hisia za moyoni ilini fikirisha sana, nadhani umeisikia pia ngoma ya confession of mad phillosopher inazungumzia mambo ya freedom, hapo lazima ujiulize huyu jamaa kawaza nini? Yani mpaka kutoa verse za namna hii
Sikutaka niweke mistari yake nikajua wengi hawana access ya ile album nisha jisahau kuwa mpo wajanja

Confession of mad teacher
Kuna vikao vya walaji wenye mitaji mikubwa wasiojali shida wao wanajali gari na nyumba wanaitwa wakwasi.../

hawa wanajali kufuga kipindi wengine hawa hata maji ya kunywa ni ubinafsi.../
 
Confession of a mad phillosopher...
Maana ya uhuru huisha baada ya utambuzi/..
Baada ya kutambua kwamba uhuru si maamuzi/..
Maana kifungo na mipaka vina fanana/..
 
Hawa jamaa mpaka huwa nashindwa nimshushe yupi ni mpandishe yupi, kwakua kwnye freestyle wanaua kila wanapo pewa nafasi
Ile battle ya CRB alishinda mteganda ila cado ana recod ya kutwaa kombe mara 9
 
Confession of a mad phillosopher...
Maana ya uhuru huisha baada ya utambuzi/..
Baada ya kutambua kwamba uhuru si maamuzi/..
Maana kifungo na mipaka vina fanana/..
Mtoto anayeenda kwa viboko, au mtenda mema baada ya kutishiwa moto?
 
Alafu ukimwona mtaani wala hauwezi mdhania unaeza mchukulia kama mshamba fulani hiv.

Sijui kwann watu weny uwezo mkubwa wa kufanya mambo kwa ukubwa huwa wanakuwa wa kawaida ukiwatazama hawanaga mbwembwe.

Ila ukitaka kuwajua uwakute sehemu zao.
Kitu kingine ambacho binafsi naona kinafanya nimuone cado special ni kujikubali bila ku fake

Anaweza akapost clip akiwa mageton uswahilini bila kujari kwamba ntaonekana vipi na wadau

Kuna moja alikua ana freestyle kuanzia ugali mpaka maji ya kunawa, ukicheki na muonekano wa geto kweli umekaa kininja una represent code za wahuni tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]. Bro... Kuna ile ngoma inaitwa Huendi Mbinguni. Nadhani ndo iliyomtoa. Na kwa kiasi fulani ilikuwa na ujumbe mzito. Ila baada ya hapo, zimebaki Comedy tu.
Ile huwendi mbinguni kumbe ndio huyo whozu?

Aisee si unaona sasa hii ngoma imetrend sana kwenye maduka ya mtaani ila sikuwa kujua jina la nyimbaji
 
Back
Top Bottom