Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Ata uko ulaya ,,wanafanya sana sajil kwa mapendekez ya viongoz kocha anakua mtu wa mwsho mfano ,sosha alikua na uwezo wa kuwaambia united wamlete ronaldo au cavan, au huu usajili uliofel mbape kwenda madrid unazan lilikua pendekezo la kocha ,uzur wa wenzetu kocha ambae yupo kwa wakat huo anakua na nguvu fulan ambayo ata kwetu inaanza kuja kuja ,ila ktk kusajil ni kaz ya team management kwa kuzingatia mapendekezo ya kocha ata pablo lazma atakua alikua na mapendekezo kwamba kuna wachezaj fulan fulan waondolewe na pia anaweza kupendekeza aina ya mchezaj anaemtaka kwa kutaja kabisa au ata kwa kuzingatia maeneo yenye upungufu au kasoro , na pia hawa makocha wanaokuja kutoka nje ya Africa wachezaji weng hawawajui ukiwaamin moja kwa moja ni rahis kupgwa ktk kusajili maana na wao itabid wawashirikishe mawakala wao waliowaleta
 

Ok, tu-assume Mo amefukuzwa, utachangia kiasi gani kila mwezi kuendeshea timu?
 
Sijui labda ila nina uhakika Mbape lilikuwa pendekezo la Anchelotti, kwani hata timu ile ya Zidane iliyo chukua UEFA tatu mfululizo ni usajili uliofanywa na Anchelotti huku Zidane akiwa kicha wake msaidizi na ndio maana ukiangalia hivi sasa, Anchelotti amerudishwa tena kuijenga timu ya Madrid. Ndio maana ukiangalia Madrid ya msimu huu kulikuwa na rotation kubwa sana ya wachezaji vijana.

Wenzetu wanafanya hivyo kumwachia kocha asajili ili kuepuka zile lawama za makocha kama kweli timu ikishindwa basi wakulaumiwa ni kocha. Huku kwetu huwezi mlaumu Pablo sababu timu hajaisajili yy.

Ulaya ni mara chache kocha kufanyiwa kama alivyo fanyiwa Pablo.
 
Issue ya makocha na timu na mambo ya mahusiano ni hivi...(pete na kidole)

Unamchukua mtu ukitarajia atakufaa, baada ya muda unagundua hafai..unamtema!!!😂😂😂
 
Wasaidizi wanafanya nini sasa, nao walipaswa kuondoka
 
Wahakikishe kwamba this time cv ya kocha wanafanya background check vizuri...wenzetu hawa wanadanganyaga kwenye cv zao....
hakuna kocha pale ,pale ni jitihada na uzoefu wa wachezaji ndio uliokuwa unaibeba Simba ,lakini kocha Hana tactics za kuiwezesha timu hasa pale wachezaji wanapokuwa wamepoyeza concentration na mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kila wakiondoka makocha Kuna kirusi kinachowatafuna mnakiacha? Tola boy yeye siyo tatizo?
 
Naona viongozi wa mikia wa zamani wanapiga spana , Kaduguda,Rage, Bro wa dewji.......huku Hamis nayeye akiliamsha Twitter
 
hakuna kocha pale ,pale ni jitihada na uzoefu wa wachezaji ndio uliokuwa unaibeba Simba ,lakini kocha Hana tactics za kuiwezesha timu hasa pale wachezaji wanapokuwa wamepoyeza concentration na mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Tulidanganyika na rangi mzeya..sii unajua tena sie waafrica tulivyo mandezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…