TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Kama hata katika hili unakosoa hivi unakua huwatendei haki madaktari waliojitahidi kutumia uwezo wao wote kuwafanya hao watoto wajitegemee.
 
Kwani huko India au Ulaya operesheni zote hufanikiwa?
 
Success rate ndio muhimu. Je hizi wanazofanya hapa Tz success rate ni kiasi gani? Wanaofanyiwa wanaishi muda gani?
Tuambie wewe. Operesheni ngapi za aina hiyo zimefanyika Tanzania na ngapi zilifanikiwa? Vivyo hivyo kwa India na Ulaya. Hapo ndipo tutaweza kulinganisha ufanisi.
 
Success rate ndio muhimu. Je hizi wanazofanya hapa Tz success rate ni kiasi gani? Wanaofanyiwa wanaishi muda gani?
Mkuu we umeshawahi kusikia ngap zimefanyika hapa bongo?
Vipi kuhusu upandikizaji wa figo?
Ngapi zimefeli ngapi zimefanikiwa?
Je ukilinganisha na za wenzetu sisi tuko position ipi?
 
Attachments

  • A832491A-6765-4FCF-AEDE-61D33B5C40D8.jpeg
    46.2 KB · Views: 6
Tuambie wewe. Operesheni ngapi za aina hiyo zimefanyika Tanzania na ngapi zilifanikiwa? Vivyo hivyo kwa India na Ulaya. Hapo ndipo tutaweza kulinganisha ufanisi.
Sina takwimu ndio maana nimeuliza. Btw nikwambie mimi kama nani?
 
1.Hivi wangewaacha ndio ingekuwa mbaya zaidi?
2.Mbona walikuwa na afya nzuri tu kabla ya operation?
3.Sasa wangeachwa wangeishije na kufaje?
Maswali ni mengi kuliko majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…