TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

Usingekuwa mrembo ningekupiga jiwe usoni ila kwakuwa Ni mrembo ntakupiga na kitu kingine

Msiwabeze Hawa jamaa ma Daktari,wengine hapa tunaishi kwa sababu ya utaalamu wao,siku mkifanyiwa operation mtawaheshimu Sana Hawa jamaa, kifo Cha huyo mtoto Ni mpango wa Mungu,Kama uliona picha ya ile team kulikuwa na mchina,na hao wataalamu wetu hawajasomea chini ya muembe huko Tandare Ni wazi ujuzi wamepata nje
Kweli asee
 
Kwanini wafanye kazi kwa kubahatisha huku wakirisk uhai wa binadamu, hiyo operation ingefanyika India ambao tayari wana experience nzuri juu ya maswala haya kungekuwa na tatizo gani?
Hawakukurupuka kufanya hiyo operation, kulikuwa na ma bingwa pale,alafu ukisikia madaktari wamefanya operation Kama hii au yeyote ile sio kwamba huwa Ni ya Kwanza,huko wanaposomea wameshafanya majaribio

WATU wengi mna emotions kuhusu hili kiasi kwamba hamuoni uhalisia, Hawa ma Daktari wanatupambania sana
 
Mwenyezi amjalie uzima huyo pacha Rehema. Na kama yuko ICU, basi lolote linaweza pia kutokea.
Mkuu ni kwamba wote walikuwa ICU tangu watoke chumba cha upasuaji,sio kwamba walihamishiwa huko baada ya hali kubadilika
 
Mkuu ni kwamba wote walikuwa ICU tangu watoke chumba cha upasuaji,sio kwamba walihamishiwa huko baada ya hali kubadilika
Basi ni jambo la kusikitisha sana. Maana hakuna kitu chenye thamani ya kweli hapa duniani kama uhai.
 
1.Hivi wangewaacha ndio ingekuwa mbaya zaidi?
2.Mbona walikuwa na afya nzuri tu kabla ya operation?
3.Sasa wangeachwa wangeishije na kufaje?
Maswali ni mengi kuliko majibu
2014-angalia wakiachwa hivyo hivyo wanakuwaje na wakitenganishwa inakuwaje
Kipi afadhali
 

Attachments

  • 14D59D03-E221-498B-B77E-F08B3BFAD8E4.jpeg
    14D59D03-E221-498B-B77E-F08B3BFAD8E4.jpeg
    53.9 KB · Views: 5
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Hapana mkuu medical mistakes hiyo ni common inatokea sehemu yeyote hata kwa madaktari bingwa.

Nakumbuka mwaka 2019 CNN wali report idadi ya watu zaidi ya 250,000 marekani hufa na mamilion hujeruhiwa kwa kwa makosa ya kiutabibu kila mwaka.

Na kulingana na american association of justice inakadiriwa kuwa medical error ni ya 6 kwa uuaji mkubwa wa watu.

Hizi incorrect operation za hapa bongo bado hazitoshi kufifisha jitihada za madakatari wetu kwa kuwa praise wazungu wakati huko ndio kuna massive death za namna hii.
 
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Operation ilifanywa na madaktari wetu kwa kushirikiana na mabingwa kutoka nje

Sisi + Madaktari wa nje = upopoma
Sisi + Madaktari wa nje - Sisi= Rehema na Neema wakiwa hai

Kuna mbongo alimwagia k vant kwenye utumbo wa Neema kimasihara, itakuwa lakini
 
Naomba kuuliza na kifo cha mtoto huyo kimepangwa na Mungu. Mbona Mungu karuhusu watoto wadogo wateseke hivyo.

Kama kiumbe kinaumbwa nae kwa nini awaumbe wameungana?
Hili jambo huwaga linaniumiza sanaa why watoto hao na je! Ni mpango wa Mungu na Mungu anajisikiaje anapoona hao watoto wakiteseka na maumivu makali

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Utaalamu wetu nchini umeishia kwenye ku dissect mende, vyura na panya!

Kazi kuulizana tu, huyu ni chura wa kike ama wa kiume? Na kujaza booklet tu + Michoro

Si ni wa ovyo sana!
 
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu

Una dalili za ushetani ndani yako ... nikufahamishe kuwa utakuwa Mchawi mbeleni endeleaa kupambana utimize ndoto zako
 
Kwa mbwembwe na matangazo kama yote Walikataa kuwapeleka watoto watu India wakajitutumua , ona sasa matokeo yake , mnafanya majarbio kwenye maisha ya watu , hii imetokea pia majuzi , mwamba kaugua ghafla tumefika hospital fulan , daktar amefanya kaz yake , daah Wana tukaona hapa chenga , inabd tumkimbize hospital kubwa Zaid , aisee daktar si akazingua et anasema atakaa fresh tuuu , aisee kufika jion mchizi wetu akakata moto tulijilaumu kinyama kumsikiliza daktar wa mchongo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hali ilikuwaje kwa daktari?
 
Back
Top Bottom