nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni mwanamke?
Kumbe Mawazo yangu was right...Mashoga maarufu wanaondoka wengi naona.....R.I.P
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo pochi hapo pembeni ni yake..?
Huyu kaka alikuwa na ukaribu (ushoga) na madada wa mujini...
Unakuta kundi la ladies only na yeye yumo...
Mungu amlaze mahali pema peponi
Hizi tabia ni socially constructed kwa hiyo tusimyooshee vidole wakati ni proof ya failure upande wetu kama wazazi, walezi na majirani...wengi tabia hizi uanzia nyumbani kwao ambako ungetegemea ni mahala salama kwa malezi ya kijana wa kiume
Mkuu ni He au She! Huwa wanataka kutendewa haki katika kuitambua gender yao.Alikuwa Mtu Maarufu Kwa vigezo vya Maarufu hapa nchini ni Kuwa kwenye matukio , pia he had a good heart na moyo mzuri beside others !Apumzike Kwa amani
Ht mimi aseeKwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.
Mkuu ulibahatika kumfahamu majina yake halisi? Maana kuna sehemu anaitwa Herry mara Nasser na sasa Haroub.Pumzika Haroub...sitaki kuhukumu nisije hukumiwa
Mkuu, kuna kuvaa hereni na kuvaa hereni za kike. Ni sawa na kuvaa nguo na kuvaa sketi. Sorry, no excuse!Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.
Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?
Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
Herry ni ufupisho wa HaroubMkuu ulibahatika kumfahamu majina yake halisi? Maana kuna sehemu anaitwa Herry mara Nasser na sasa Haroub.
amefanana Na salama jabir
aminaHakunaa hata jiwe litakalo salia...ni.wakati wakung'oa kizazi cha Kipepo katikati ya uzao wa Kibinadam(wachache hamtanielewa)
mbona umesahau kwamba alikuwa anapumuliwa?Alikuwa Mtu Maarufu Kwa vigezo vya Maarufu hapa nchini ni Kuwa kwenye matukio , pia he had a good heart na moyo mzuri beside others !Apumzike Kwa amani
duhhhh mpungaaa????????????rip my frien paco gone too soon young man View attachment 328357
Mwanaume rijali hatoboi sikio..unless uwe hauna dini ndo utaona kila kitu ni sawa kwako...Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.
Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?
Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.