Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Huyu kaka alikuwa na ukaribu (ushoga) na madada wa mujini...
Unakuta kundi la ladies only na yeye yumo...
Mungu amlaze mahali pema peponi
Hizi tabia ni socially constructed kwa hiyo tusimyooshee vidole wakati ni proof ya failure upande wetu kama wazazi, walezi na majirani...wengi tabia hizi uanzia nyumbani kwao ambako ungetegemea ni mahala salama kwa malezi ya kijana wa kiume
 
upload_2016-3-9_8-46-24.jpeg
 
Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.

Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?

Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
Mkuu, kuna kuvaa hereni na kuvaa hereni za kike. Ni sawa na kuvaa nguo na kuvaa sketi. Sorry, no excuse!
 
Kuna picha ni bonge na hizi kapungua, je ni mtu mmoja? Nimeshindwa kufananisha.
 
Alikuwa Mtu Maarufu Kwa vigezo vya Maarufu hapa nchini ni Kuwa kwenye matukio , pia he had a good heart na moyo mzuri beside others !Apumzike Kwa amani
mbona umesahau kwamba alikuwa anapumuliwa?
 
Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.

Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?

Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
Mwanaume rijali hatoboi sikio..unless uwe hauna dini ndo utaona kila kitu ni sawa kwako...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom