Msoffe [emoji68] [emoji68]we jamaa unapenda kunifwwatafwata sana jiangalie ntakuja kukubaka utulie
mimi si mchaga
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaandiye nani? (in joti's tone)
mmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhAsante mungu nakuomba upunguze mashoga wote tubaki cc marijali tu
Nakubaliana na wewe na hasa sisi wasukuma. Kipindi cha nyuma miaka ya 1990 nilikuwa mpenzi sana wa ngoma za kienyeji za kisukuma maarufu kwa jina la beni. Ilikuwa wachezaji wanavaa hereni na mabanio ya nywele wengine wakisuka. Malenga maarufu Ng'wanankome alikuwa hadi anacheza akiwa na perfume huku akiwa kavaa wigi na kujipulizia kila mara. Ushoga no tabia ya mtu na nasikia hata bungeni wamo (sijui watanifuatilia kwa kutaja bunge!!!?)Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.
Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?
Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
ndo nani jiheshimu wacha kutubatiza halafu msoffe sio wachaga kijanaMsoffe [emoji68] [emoji68]
Mkuu huyu NZI hata mm kanipa mashakaWewe kweli ni Nzi. . .
Natumia kichwa cha chinindo nani jiheshimu wacha kutubatiza halafu msoffe sio wachaga kijana
hapo ulipo unatumia kichwa kipi ? maana
mpunga=pungann sasa unashangaa ndugu....
Huyo alikuwa ni GASHO maarufu hapa mjini,wadada wote maarufu hapa wanamfahamu na wanamlilia..
Maneno yako ni kweli kabisa...lakin hawa jamaa ni wa kulaaniwa tu..Tumuombe Allah atuepushe na hili janga la ushogaSisi ni wake na kwake ni marejeo.
Wote tutarudi kungoja siku ya hesabu na amali zetu za leo ndiyo zina matter.
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Y?JUST SPEECHLESS!
kitumie kwa kazi yake hapa sio pakeNatumia kichwa cha chini
mpunga=punga
πππππππ
kitumie kwa kazi yake hapa sio pake
ndiye nani? (in joti's tone)
Kuna madada wengine laana tu wanawakusanya mashoga na kuwatafutia wateja....Huyu jamaa alikuwa close na kina dada wengi wa mujini
Sioni sababu ya ku justify ujinga. Tunajua hereni zinazovaliwa sasa na hawa vijana masharo wa dar siyo zile za kimasai wala za mababu zetu bali mitindo iliyoigwa Marekani.
Wavaaji wa hereni hata walioko Marekani siyo watu wanaoheshimika sana na mostly kimaadili ni questionable. Iweje sisi huku africa tuwaone watu wa kawaida?.
ukweli utabakia kuwa uvaaji wa sasa wa hereni kwa wanaume unahusishwa na maadili machafu na hupati heshima popote labda kwa watu wenye silka kama yako.