Kweli .Maisha ya mcheza soka (professional footballer) ni maisha yanayotakiwa kuwa ya nidhamu ya hali ya juu sana.. Hasa kwenye mambo makubwa matata
1. Vyakula
2. Vilevi
3. Wanawake
Professional footballer yoyote akiendekeza hata kimoja tu kati ya hivyo AMEKWISHA!
Yuko wapi Aziz Ni leo hii
Hii nakubali ona hata Morrison hata akiwa hana timu lazima ang'ang'anie kubaki DSM. DSM mademu ukiwa na laki tu, starehe bei sawa na bure.Tatizo ni wakiingia hapa Dar es salaam, Jiji la starehe za kila aina na zinapatikana kwa ukaribu, Wanageuka kuwa wacheza bendi ๐ Wakongo ndiyo kabisa hata wakistaafu soka hawataki kurudi makwao
SAnaaYanga wanawaendekeza hao wachezaji
Ila uwongo dhambi bongo uliendekeza mademu umekwisha iwe mwanasoka au mtu anaejitafutaHii nakubali ona hata Morrison hata akiwa hana timu lazima ang'ang'anie kubaki DSM. DSM mademu ukiwa na laki tu, starehe bei sawa na bure.
Sijui, ila siwezi kukubishia, naijua bongo nasijua mikato yake, si sehemu salama kwa watu wanaotarajia kuendesha maisha kupitia vipaji vyao, na mbaya zaid kwa wachezaji wanaotakiwa kuwa na nguvu, stamina na focus.Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha Clemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya ๐บ bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa
๐๐ Labda wamnunulie mirinda nyeusiYao kwasi je???
Hawaendi nae
Kumbe walivunja kambi AVIC TOWN. Kumbe ni sababu ya wazi kabisa.Shida ni walipovunja kambi avic town na kuanza kukaa makwao.
Halafu kama huyu aziz ndiyo wa kuchapa na viboko kabisa mjinga huyu kujifanya kocha .
Ndiyo mpaka sasa hawakai kambini tena kila mtu anakuja akitokea kwake! Ndiyo maana unaona wachezaji fitness opo chini pia hata sasa hivi hawafanyii mazoezi avic town ila uwanja gani sijui ule ndio wanapigia tizi .Kumbe walivunja kambi AVIV TOWN. Kumbe ni sababu ya wazi kabisa.
Nadhani jana taa nyekundu imemuwakia,bench linamhusuHuyo Aziz ki anafika hadi Tabata kulewa
Atandikwe na viboko kabisa mpuuzi huyu sijui anajikuta nani?Sijui, ila siwezi kukubishia, naijua bongo nasijua mikato yake, si sehemu salama kwa watu wanaotarajia kuendesha maisha kupitia vipaji vyao, na mbaya zaid kwa wachezaji wanaotakiwa kuwa na nguvu, stamina na focus.
Yule mwingine yeye ni mswalihina, hagusi pombe, wala kitimoto, yeye ni mwendo wa mimoshi, ni UTI sugu, full kujichosha. Mashuti yake hadi watoto sasa hivi wanayadaka
View attachment 3166423
Tuwekee ushaidi wa picha au video wakiwa wamelewaUlevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha Clemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal