Pacome na Baleke acheni tabia ya ulevi, mnaigharimu Yanga Kwa kiwango kibovu

Kwa kuangalia tu kiwango cha mchezaji mmoja mmoja wa Yanga, unagundua mapema kuna kitu hakiko sawa.
Mtu kama Prince Dube anaonekana ameshikiliwa na moja ya lishangazi la mjini! Maana hata stamina tu kama mchezaji siku hizi, hana! Ukimkuta uwanjani, yeye ni kuruka ruka tu na kuanguka hovyo.
 
View: https://youtu.be/nm9nTtqIwyI?si=3MExFu_YXhg7PJBU
 
Mimi Bora nifilisike.😅😅
 
Kama kale ka bwana mdogo ka AHOUA nako ni kalevi soon atashindwa soka la bongo, kwanza HAKAJUI mpira, kiwango chake si cha timukama simba ni AVERAGE player.
Afadhali na wewe umeona.sie tukisema tunaelekezwa kutazama takwimu,wachezaji wenzake Che Malone na Ngoma kwa nyakati tofauti wameoneshwa wakimfokea kwa kuleta utoto wake uwanjani wakati wenzake wanavuja jasho
 
Ni mchezaji wa kawaida saana, sio skills, vision wala nini humo mote hakuna kitu, ni aibu simba kuwa na mchezaji kama yule eti ndio PLAYMAKER.
 
Ni mchezaji wa kawaida saana, sio skills, vision wala nini humo mote hakuna kitu, ni aibu simba kuwa na mchezaji kama yule eti ndio PLAYMAKER.
Usiwastue waache hivo
 
Hebu mtoe huyo kijana Charles Aouhor katika hiyo list ya walevi wako ndugu.
 
Sindano FC ni tabia yao ulevi, mkumbuke yule mlevi aliyeondoka Okrah, alimuachia huzuni sana Mkude maana walikuwa wanalala hadi mtaroni wakishalewa
 
Sindano FC ni tabia yao ulevi, mkumbuke yule mlevi aliyeondoka Okrah, alimuachia huzuni sana Mkude maana walikuwa wanalala hadi mtaroni wakishalewa
Tulia kolo
 
Kama analewa na anacheza vizuri kama mechi ya jana ya Namungo ni bora aendelee kulewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…