Pombe na wanawake vinamaliza nguvu za mwili na stamina..misosi inaongeza uzitoKwa kuangalia tu kiwango cha mchezaji mmoja mmoja wa Yanga, unagundua mapema kuna kitu hakiko sawa.
Mtu kama Prince Dube anaonekana ameshikiliwa na moja ya lishangazi la mjini! Maana hata stamina tu kama mchezaji siku hizi, hana! Ukimkuta uwanjani, yeye ni kuruka ruka tu na kuanguka hovyo.
Mwanasheria wa Sanda katika ubora wake.Msicho kijua kuhusu football international player sio sawa na local player, wakija wanakuja na matakwa yao kweny mkataba na ww yako mnachanganya mnakubaliana, asa pro uwez mlazimisha mda wa kuondoka uwanjani apandw magari yenu, au asiende club ww deal na mkataba hajaja mazoezin sku mbili au kiwango kibovu kama ni moja ya makubaliano yenu, ndo maana kuna wachezaji anakwambia lazima acheze kila mechi si chini ya dk 45 ata kama kiwango kimeshuka ktk ya msimu ila anacheza . Kikubwa tofautishen pro na wakina kibwana shomari, kama kweny mkataba wako uliandika asiende club sawa
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa
Starehe zinawaharibuKwa kuangalia tu kiwango cha mchezaji mmoja mmoja wa Yanga, unagundua mapema kuna kitu hakiko sawa.
Mtu kama Prince Dube anaonekana ameshikiliwa na moja ya lishangazi la mjini! Maana hata stamina tu kama mchezaji siku hizi, hana! Ukimkuta uwanjani, yeye ni kuruka ruka tu na kuanguka hovyo.
Kasajili wa kwako kutoka misikitini tuUlevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa
Huyo Aziz ki anafika hadi Tabata kulewa
Sawa walevi ila wanafanya kazi zao vizuri wewe TATIZO lako nini ulevi wao au utekelezaji wa kazi zao, kwenye mkataba umeona kuna kipengele kinachowakataza wasitumie gambe?Hakika mkuu Auohor na Pacome ni marafiki na walevi sana
Acha uzushi wa kinafki huo mkuu km huna ushahidi acha uzushi sio Jambo zuri kuzushia watu uongoHuyo Aziz ki anafika hadi Tabata kulewa
Me nakupa habari ya uhakikaAcha uzushi wa kinafki huo mkuu km huna ushahidi acha uzushi sio Jambo zuri kuzushia watu uongo
Sawa aliibiwa pale na ulikuwepo pale yaweza ikawa Wewe ndio mwizi wake sawa umenufaika kwa wizi wa simu ya Dollar 5000 haina shida, suala la msingi je huyo Pacome na hao wenzie pamoja na kua wanatembelea viwanja tofauti vya starehe maana yake wasiweze kutembelea maeneo tofauti na kurefresh mind? Nimekuuliza kwwnye mikataba yao kuna kipengele ulikisoma kinachowakataza wao kutembelea sehemu za starehe?Me nakupa habari ya uhakika
Me sio mtu wa porojo
Nikileta habari ujue nimefatilia na Nina uhakika
Pacome akiwa na Aouhor na Baleke aliibiwa simu na dollar 💵 elf 5 saa 11 alfajiri pale Lemente Bar Masaki, siku hiyo ndo Yanga alikuwa na mechi na Al Hilal
Nilikuwepo pale
Mfano mzuri ni wewe mwenyewe ni kisu hatari. Bongo watoto wazuri sana mmejaaIla uwongo dhambi bongo uliendekeza mademu umekwisha iwe mwanasoka au mtu anaejitafuta
Hii nchi kuna mademu wakali wengi sana wa kila shape ukishatambulishwa bar za masaki umekwisha!
Sembuse wacheza mpira ambao nyapu zenyewe wanapewa bure mana wadada shobo ni nyingi
Wafanye tu kujenga ili wazisasambue vizuri mana tukiachana na ivory coast hao waburkinabe /mali maisha yenyewe kwao hawana
Noma sana!Duuh
Hapa tunasema wachezaji kujitunza ki professional sio wasifanye stareheSawa aliibiwa pale na ulikuwepo pale yaweza ikawa Wewe ndio mwizi wake sawa umenufaika kwa wizi wa simu ya Dollar 5000 haina shida, suala la msingi je huyo Pacome na hao wenzie pamoja na kua wanatembelea viwanja tofauti vya starehe maana yake wasiweze kutembelea maeneo tofauti na kurefresh mind? Nimekuuliza kwwnye mikataba yao kuna kipengele ulikisoma kinachowakataza wao kutembelea sehemu za starehe?
Km hakuna hicho kifungu basi acha maneno yako ya kuwasema vibaya maana mikataba yao haina hicho kifungu na haiwakatazi wao kutembelea sehemu hizo, wewe kwenye mkataba wako wa kazi na mwajiri wako kuna kipengele kinasema mwajiri wako haruhusu wewe kutembelea sehemu za starehe na kuweza kustareheka kivyovyote au kuna mfanyakazi mwenzio yeyote alieenda kulalamika kwa bosi kwamba hua unaenda maeneo tofauti ya starehe kufanya starehe wakati muda wote inabidi uwe eneo lako la kazi?
hamisa mobeto atakuwa anajua aliko azizi k labda tukamuulizeMaisha ya mcheza soka (professional footballer) ni maisha yanayotakiwa kuwa ya nidhamu ya hali ya juu sana.. Hasa kwenye mambo makubwa matata
1. Vyakula
2. Vilevi
3. Wanawake
Professional footballer yoyote akiendekeza hata kimoja tu kati ya hivyo AMEKWISHA!
Yuko wapi Aziz Ki leo hii
Happ ndipo ulipoongea kiungwana zaidi kwa maelezo yako kule juu ilibidi useme hiviHapa tunasema wachezaji kujitunza ki professional sio wasifanye starehe
Huwezi kukesha bar na kesho una mechi ya kimataifa
Unafika uwanjani na uchovu mkesha
Ingekuwa kipindi cha mapumziko hapo sawa
Inatakiwa ajitunze, awe timamu aheshimu mkataba na ampe mwajiri wake kilicho Bora
Ile mechi wale vijana walikosa fitness kabisa
Mbona Chama anajitunza pamoja na umri wake mkubwa ila ana fitness nzuri kuwazidi akina Pacome na Aziz ki
Kitambaa cheupe?Huyo Aziz ki anafika hadi Tabata kulewa
Vipi hawakuwa na totoz kali pembeni maana nasikia wachezajinhawa wana gegeda pisi kalikali tuuUlevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal