Pacome na Baleke acheni tabia ya ulevi, mnaigharimu Yanga Kwa kiwango kibovu

Hivi magoli yanayofungwa na wanywaji ni tofauti na yale ya wasiokunywa? Kama ni sawa waelimishwe kuimarisha afya zao.Marehemu Dr kasambala alikuwa maarufu afrika mashariki kwa upasuaji huku akiwa amekunywa.Ilikuwa vigumu kumwakisha kazi.
 
Eti usd elfu Tano kaibiwa!!
 
Kama kale ka bwana mdogo ka AHOUA nako ni kalevi soon atashindwa soka la bongo, kwanza HAKAJUI mpira, kiwango chake si cha timukama simba ni AVERAGE player.
Mbona mkuu yupo vizur tu sema timu aliyopo aina Muungano mzur.
 
Tatizo ni wakiingia hapa Dar es salaam, Jiji la starehe za kila aina na zinapatikana kwa ukaribu, Wanageuka kuwa wacheza bendi πŸ˜› Wakongo ndiyo kabisa hata wakistaafu soka hawataki kurudi makwao
Faisal analewa baa gani? Abdi Kassim ulimuona baa gani? Mnasajili walevi wa Kongo na Ghana halafu mnaisingizia Dar
 
Hii nakubali ona hata Morrison hata akiwa hana timu lazima ang'ang'anie kubaki DSM. DSM mademu ukiwa na laki tu, starehe bei sawa na bure.
Ushamba tu, tumesoma vyuo vikuu vya Dar, Dar tunaona kama jiji la kawaida tu. Alfajir unaenda msiktini, mchana unaenda chuo, jioni unaenda mazoezi, usiku unaenda msikitini Dar, halfu unaenda kulala
 
Faisal analewa baa gani? Abdi Kassim ulimuona baa gani? Mnasajili walevi wa Kongo na Ghana halafu mnaisingizia Dar
Tatizo umri, hao unaowaita walevi unakuta wana vipaji mno, ila tabia ya ulevi ndiyo inawagharimu, Lakini haiondoi ukweli juu ya vipaji vyao. Pia sio wachezaji wote wana hulka za starehe ya pombe na wanawake, Mfano Max Nzengeli hauwezi kumuona anavuta shisha au hata kuchora tattoo, Starehe yake kupiga pamba kali. Ila kina Joyce Lomalisa na Bacca inonga tattoo + starehe kwa sana ndiyo zao, na bado uwanjani huenda wakafanya vizuri kuliko max!
 
Ushamba tu, tumesoma vyuo vikuu vya Dar, Dar tunaona kama jiji la kawaida tu. Alfajir unaenda msiktini, mchana unaenda chuo, jioni unaenda mazoezi, usiku unaenda msikitini Dar, halfu unaenda kulala
Pesa mkuu pesa! Wewe chuoni boom haifiki hata laki 8 πŸ˜› Unaenda Hyatt regency kufanya nini? Mwenzio analipwa milioni 40 kwa mwezi, na bado ana miaka 21, Ana pesa na anaona ana maisha mazuri tayari, afanye nini sasa?
 
Kuna watu wanafanya kazi za vibarua kwa siku 2 lkn mlevi hatari. Ushamba wa baadhi ya watu tu. Pesa sio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…