Yes,View attachment 3700219
Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
Wajibu wako namba moja ni kutii mamlaka. Kama unawajua kuwa wana majeshi na silaha waambie waumini wako watii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa mungu.View attachment 3700219
Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
Punguza makasiriko,chukua ujumbe huo kutoka kwa neno la Mungu!Yes,
it's very true,
Mungu ni wa wote na hakuna mwanadamu aliezaliwa na mwanamke anaweza kumtisha mwanadamu mwingine kuhusu Mungu.
In fact,
kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila ya kiherehere cha binadamu awae yeyote.
Kuna Abino aliuawa na Padre ili Padre huyo akatambike na kufanya ushirikina ili hatimae ateuliwe kua Askofu.
Mungu pekee ndio anajua adhabu ya haki ya kumpatia Padre yule ambae alimuua binadamu mwenzake.
Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema marehemu yule aliedhulumiwa uhai na yule Padre 🐒
Yes gentleman,Punguza makasiriko,chukua ujumbe huo kutoka kwa neno la Mungu!
Acha blah blah,chukua ujumbe kutoka neno la Mungu!Yes gentleman,
kuchukua ujumbe sio lazima kupiga mayowe jukwaani plz.
Na uko sahihi,
hawa majamaa wanaojifanya wadogo zake Yesu Kristo wa Nazareth, ni vizuri kua nao makini sana, maana, hapo anafundisha hivyo baadae anakwenda kuua albino ili eti akafanye tambiko na ushirikina ili ateuliwe kua Askofu.
Hata kuna mamluki moja,
alihadaa wadau wa Jf kwa kuwafundisha namna ya kujilinda na drama za sijui utekaji na mwishowe akajiteka mwenyewe
Kila siku, kila Kona, serikali ya Samia inapigwa mawe tuu.View attachment 3700219
Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
ujumbe wa neno la Mungu wa kuaminika uko kwenye Bible gentleman, kua makini na porojo na chumvi za hao jamaa maarufu kwa dhuluma za kingono duniani 🐒Acha blah blah,chukua ujumbe kutoka neno la Mungu!
Za kuambiwa changanya na zako huyo Padri waulize wafanyakazi wa shule ya msingi Henry Winnkel Molen wakuambie jinsi anavyo-treat wafanyakazi? Ndio utajua maneno matamu vitendo sasaYuko sahihi Fr Mkwizu.
Sio kumtii Mungu kwanza ww mamlaka ndo unaona yanafaa kua no moja aisee? Haya hayo mamlaka kama kama ni batili ama kikundi cha wahuni bado yana ha haki ya kuyatiiWajibu wako namba moja ni kutii mamlaka. Kama unawajua kuwa wana majeshi na silaha waambie waumini wako watii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa mungu.
Em tueleze kiundani kuna nini kumhusu huyo MkwizuZa kuambiwa changanya na zako huyo Padri waulize wafanyakazi wa shule ya msingi Henry Winnkel Molen wakuambie jinsi anavyo-treat wafanyakazi? Ndio utajua maneno matamu vitendo sasa
Siyo zote zinatoka kwa Mungu. Mamlaka zinazoajiri machawa chawa kama wewe haziwezi toka kwa MunguWajibu wako namba moja ni kutii mamlaka. Kama unawajua kuwa wana majeshi na silaha waambie waumini wako watii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa mungu.