Machawa mmezidi sasa, kila sehemu kuna chawaAngetakiwa aanze hivi “nawahusieni ninyi na nafsi yangu” Yeye mwenyewe anatesa wafanyakazi Henry WINnkel MOLEN primary kama hana akili vizuri watu wamekimbia kazi kwa ajili yake… Ndio mana misalaba inaanguka na kuwaponda madhabahuni, Fanya unachohubiri toa Boriti kwanza kwenye jicho lako.
Hivi wewe mvaa makubasi una akili TIMAMU?? Au hicho chuo chenu cha madrasa huwa mnafundishwa nini maana unaandikaga maujinga alafu machawa nguli hawana hata muda na wewe unabaki kukata viuno kwenye nyuzi za akili. Rudi kwenye ule Uzi wako ulioutelekeza angalau uwe na wachangiaji wengi🚮Wajibu wako namba moja ni kutii mamlaka. Kama unawajua kuwa wana majeshi na silaha waambie waumini wako watii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa mungu.
Huyo sura mbaya limama lenye kitambi Samuya ana shida ya akili, sijui nani alimchagua kuongoza nchi yetu. Muuaji yeye na mwanawe. Hatuwezi kuendelea na haya mambo anayofanya.Katoliki wanaihubiri haki kila sekunde.
Kwani huwajui hao?Sasa mbona padri huwa anagoma kuwaombea watu waliokufa kwa kujinyonga lakini anaombea vibaka .
Sasa mbona padri huwa anagoma kuwaombea watu waliokufa kwa kujinyonga lakini anaombea vibaka .
Yes gentleman,
kuchukua ujumbe sio lazima kupiga mayowe jukwaani plz.
Na uko sahihi,
hawa majamaa wanaojifanya wadogo zake Yesu Kristo wa Nazareth, ni vizuri kua nao makini sana, maana, hapo anafundisha hivyo baadae anakwenda kuua albino ili eti akafanye tambiko na ushirikina ili ateuliwe kua Askofu.
Hata kuna mamluki moja,
alihadaa wadau wa Jf kwa kuwafundisha namna ya kujilinda na drama za sijui utekaji na mwishowe akajiteka mwenyewe
Padre anajiongelesha tu hapo kwenye jukwaa la UFIPA hakuna Mungu hapo anapomwaga povuDawa imepenya sawa sawa , tulia sindano isikatikie ndani.
Ujumbe ni kwamba usitumie madaraka yako vibaya kuua na sio mambo ya kuombea wafu.
Kuzuia kifo ni bora kwanza kuliko kuombea aliyekufa ndio maana kasema watu waache kuua .
Kuhusu kuombea waliouwawa ni kesho wakatoliki watajumuika huko.
Tusio na dini kesho ni kutinga full black
Gentleman,Mtu wa laana wewe, hakuna jema litokalo kinywani mwako kwa sababu ibilisi amefanya makazi nafsini mwako.
Hakuna padre wa kumwua albino. Huyo aliyefanya hivyo ni mmoja wa wale wauaji wanaotaka kulipeleleza Kanisa, hivyo wanajifanya mapadre kumbe ni hao hao machawa wa wauaji.
Huyo ni bingwa wa gibberish hapa JFAcha blah blah,chukua ujumbe kutoka neno la Mungu!
Wewe fala Tulia ulishwe injiliujumbe wa neno la Mungu wa kuaminika uko kwenye Bible gentleman, kua makini na porojo na chumvi za hao jamaa maarufu kwa dhuluma za kingono duniani 🐒
"Mungu yupo" ni kauli ya kujifariji tu.Kwa hyo huyo mungu ye kakaa kimyaaaaaaa huko aliko anaangalia tu watu wanavotekwa, kuteswa, kuuwawa ila hataki ku-show up his reaction badala yake nyie ndo mmekomaa kumsemea hahahahaha,,,kama kweli yupo bas atakua ni kiumbe wa ajabu kuwahi kutokea Infropreneur , Kiranga Jumong S
Gentleman,
sema una changamoto na uhuru na haki yangu ya kutoa maoni na maoni yenyewe.
hizo porojo na ramli zako zingine mkadanganyane na washirikina wenzio
relax basi gentleman na uache porojo na ramli jukwaaniSiku zote mashetani na mabwana zenu ndio mnaoamini mwenye ushirikina. Mimi sijawahi kushiriki wala kuamini katika ushirikina katika maisha yangu yote, na kamwe haitakuja kutokea. Japo ni mwanadamu, amvaye hawezi kukosa mapungufu, lakini kamwe mapungufu hayo hayawezi kuwa ushirikina au kumdhulumu mwanadamu mwenzangu, kama yanavyofanya hayo mashetani, dhuluma za kuwateka watu, kuwabambikia watu kesi, ufisadi, na mauaji ya wanafamu. Kama utakatifu ungekuwa unapimwa kwa kutofanya hayo tu, nina hakika ningeitwa mtakatifu. Mimi nakueleza uhalisia: Hakuna padre wa kuua Albino au mwanadamu yeyote. Lakini ufahamu kuwa tangu kale, siyo Tanzania tu, lakini katika nchi mbalimbali, shetani amewahi kupandikiza watu wake kwenye kundi la mapadre eti ili kulipeleleza au kulihujumu Kanisa. Na hao ndio huwa wanafanya mambo ya ajabu yasiyoendana na imani ya ukatoliki. Na hayo yalifahamika tangu kale, ndiyo maana Yesu alisema kuwa mtawatambua kwa matendo yao. Siyo kila asemaye ni padre lazima awe padre, wala si kila asemaye ni mkristo huwa ni mkristo. Kumjua Padre wa kweli na mkristo wa kweli, tazama matendo yake.
Mkristo wa mchongo relaxWewe fala Tulia ulishwe injili
Padre anajiongelesha tu hapo kwenye jukwaa la UFIPA hakuna Mungu hapo anapomwaga povu