instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Hapo hakuna padre hapo ni utapeli wa kirohoUtaongea yote ila ujumbe umefika "usiue kwakua una madaraka , una jeshi ,vidampa , chawa, wapambe wazabizabina na ukiamini watakua na wewe siku zote.
Hapo hakuna padre hapo ni utapeli wa kiroho
Mimi ni mlokoleNenda wewe uwe padre.
Mimi ni mlokole
Mimi nahuburi neno la Mungu ili kuwafanya watu wauone USO wa Mungu, Ili kuwafanya watu waachane na dhambi ili kuwafanya watu wauone uzima wa milele, sihubiri udabwada kama huo wa padriBasi ingia na wewe uhubiri unachoona kinafaa.
Chukua ujumbe kutoka neno la Mungu!ujumbe wa neno la Mungu wa kuaminika uko kwenye Bible gentleman, kua makini na porojo na chumvi za hao jamaa maarufu kwa dhuluma za kingono duniani 🐒
ok.farisayoChukua ujumbe kutoka neno la Mungu!
View attachment 3700219
Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
Siyo zote zinatoka kwa Mungu. Mamlaka zinazoajiri machawa chawa kama wewe haziwezi toka kwa Mungu
Mimi nahuburi neno la Mungu ili kuwafanya watu wauone USO wa Mungu, Ili kuwafanya watu waachane na dhambi ili kuwafanya watu wauone uzima wa milele, sihubiri udabwada kama huo wa padri
Hapo hakuna padre hapo ni utapeli wa kiroho
Nakubali hoja yako. Lengo lao kubwa ni kupata pa kuegemea."Mungu yupo" ni kauli ya kujifariji tu.
Ila kwenye msiba tunaiachia tu kwa sababu watu wanaoomboleza msibani kwa kujifariji Mungu yupo kuanza kuwabishia inaweza kuwa ni ukatili mkubwa sana.
Watu washafiwa, wamekubali, wanajifariji Mungu yupo, unawaondolea faraja yao tena? Sio ukatili huo?.
Ila katika mapinduzi Mungu yupo inaweza kuwa silaha ya kuunganisha wapambanaji, au hadaa inayochelewesha ukombozi.
Unaonaje, yule Kinjekitile Ngwale alikuwa ni shujaa kwa kuwaunganisha watu wapigane na Mjerumani wakiamini risasi zitageuka maji, au alikuwa kawachuuza waafrika wakauawa kwa mafungu?
Sindano au uboo??Naona ujumbe umepenya vizuri kuna machawa hapo juu wanarukaruka hadi sindano imetaka kuvunjikia ndani.
Uliguswa na huu msiba kumbe ila wa October 29 ukawa kipofuMwenyezi Mungu ampe pumziko jema marehemu yule aliedhulumiwa uhai na yule Padre 🐒
magaidi Mwenyezi Mungu awaweke wanaostahili 🐒Uliguswa na huu msiba kumbe ila wa October 29 ukawa kipofu
October naye alishika mtutu ?Angetakiwa aanze hivi “nawahusieni ninyi na nafsi yangu” Yeye mwenyewe anatesa wafanyakazi Henry WINnkel MOLEN primary kama hana akili vizuri watu wamekimbia kazi kwa ajili yake… Ndio mana misalaba inaanguka na kuwaponda madhabahuni, Fanya unachohubiri toa Boriti kwanza kwenye jicho lako.
Na iwe kama unenavyo!magaidi Mwenyezi Mungu awaweke wanaostahili 🐒