Nimempa jibu zuri pia.
Kuwa Tundu lisu aliekapigwa Risasi si mkristo mwenzao,why wakaupiga kimya enzi za Mwendazake??Uoga Tuuuh....
Unadhani hiyo akili ya kuchuja anayo?Yuko sahihi huyo Padre, kwa sababu kauli zao hao viongozi zinathibitisha kuhusu suala hili.
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
Hawa jamaa huwaga wanatabia ya kuchagua upande, kipindi cha mzee wa Push-up midomo yao ilikuwa rikizo kana kwamba walikua hawaoni, hawasikii na wala hawajui hata kama walikuwa wanajuzwa na wanaojua kilichokua kinaendelea wakati ule.
Weka hapa tuone.Acha uongo wako. Mbona walitoa waraka kipindi Cha Magufuli?.
SASA WEWE CHOKO KWANI NI UONGO KUWA MAKAFIRI MNAMCHUKIA??
Weka hapa tuone.
SHULE GANI SASA,NIPELEKE WATOTO SHULE KISHA WAWE FALA KAMA WEWE WA KWENDA KUKANYAGA MAFUTA KWA MWAMPOSA ILI UFANIKIWE KUWA TAJIR??
Sio wanawajua tu, wanabariki na hata kuwatuma.Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Anadanganywa na nani kwani ye hana akili?Yuko sahihi huyo Padre, kwa sababu kauli zao hao viongozi zinathibitisha kuhusu suala hili.
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
Haya tuletee wewe sasa ambayo haja editiwa hapa ili tukuamini na uongo wako!Editing ya kipumbavu kabisa
SASA MTU ANAKUAJE MUISLAM KISHA AENDE KWA MWAMPOSA??MUISLM HAAMINI KUWA YESU NI MUNGU,HUYO ANAEKUJA HUKO NI MWENZENU TUH HUYO...Mbona kwa mwamposa Waislamu ndio wengi. Au hujui?
JAMII FORUM INAKATAZA MATUSI,NINGEKUWA NAJUA KUWA NI TUSI NISINGEKUWA NALITUMIA,NASHUKURU SANA KWA KUELEWA KWAKO KUWA KAFIR SIYO TUSI.Tatizo lako unadhani kumuita mtu kafir ni tusi. Pole Sana.
amesahau yeye ni priest-padre na sio mwanasiasaUpumbavu wake upo wapi?.
Umeongea kwa unyonge mno mpuuzi wewe kwasababu unaujua ukweli kuwa hamna watu wabaguzi kama waislamuWakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Ili mbaki vibaraka wa waarabuKama wanatumika na mabeberu nao wembe ni ule ule,,,,DRC walishaonyesha njia na wakaufyata hizi zama sio za kuwaendekeza vibaraka wa wazungu
Haya vibaraka wawazungu karibuni tarehe 23 mlisakate rumbaIli mbaki vibaraka wa waarabu