Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Yuko sahihi huyo Padre, kwa sababu kauli zao hao viongozi zinathibitisha kuhusu suala hili.

Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
Unadhani hiyo akili ya kuchuja anayo?
 
Hawa jamaa huwaga wanatabia ya kuchagua upande, kipindi cha mzee wa Push-up midomo yao ilikuwa rikizo kana kwamba walikua hawaoni, hawasikii na wala hawajui hata kama walikuwa wanajuzwa na wanaojua kilichokua kinaendelea wakati ule.

Acha uongo wako. Mbona walitoa waraka kipindi Cha Magufuli?.
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Sio wanawajua tu, wanabariki na hata kuwatuma.
 
Yuko sahihi huyo Padre, kwa sababu kauli zao hao viongozi zinathibitisha kuhusu suala hili.

Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
Anadanganywa na nani kwani ye hana akili?
 
Watu wanaogopa jeshi la polisi kuliko majambazi kuna haja ya serikali kulisuka upya kutoka polisi forces ( watu wasio na akili na wapiga rungu) kwenda police service ( watu werevu wenye nidhamu ya kazi na miiko ya kitaalumu)
Otherwise hii polisi haitaaminika milele
 
Back
Top Bottom